Karibu Mwanza

Huu mji utakuja kuwa na foleni ya kufa mtu.Time will tell.


Foleni ya baiskeli ipo sana haswa wakati wa kwenda mnadani kuuza pamba....wasukuma na baiskeli wanakuwa na fujo sana barabarani na ndiyo maana wanagongwa sana na mabasi ya mikoani ikienda mjini..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…