Karibu,mtumie vyoo vya kisasa si kuchimba mashimo

Ushirombo

JF-Expert Member
Jan 22, 2013
3,557
2,692
MSALLAMO AGRO ENVI CO.LTD
Majitaka imekua ni tatizo sana miongoni mwa watu wengi hapa Tanzania na dunia kwa ujumla; Makazi mengi yamekua hayavutii wala kuthaminiwa kutokana na miundo mbinu hafifu na isiyodumu ya majitaka.
Sababu nyingi zikiwa ni;
Udogo wa eneo la makazi.
Eneo kuwa lina majimaji sana (high watertable level),Inakua ngumu kwa wengi kuchimba mashimo ya majitaka
Kuharibika kwa haraka kwa mashimo ya majitaka, hivyo kuruhusu maji ya mvua (stormwater) kuingia na kuyajaza haraka hivyo kuleta gharama kwa ajili ya kunyonya
Kuchanganya majitaka kutoka jikoni na majitaka kutoka chooni pia imekua ni tatizo kwa wengi, hivyo kufanya miundo mbinu kutodumu.
Maeneo yenye udogo wa mfinyazi sana au kichanga sana imekua ni tatizo kwa wengi.

Kawaida tumezoea sana mfumo wa kutibu majitaka wa septic tank system yaani shimo moja la mstatiri na shimo moja la duara

Kampuni yetu MSALLAMO AE LTD iliyoidhinishwa na serikali ya jamhuri ya muungano-Tanzania kufanya kazi za majitaka na maji safi imeleta teknolojia mpya ambayo inaleta suluhisho kwako na kwa gharama nafuu sana, mfumo huu unaitwa BIODIGESTER DECENTRALIZED SYSTEM-BDS, kama unavyoonekana hapa chini;

Sifa zake ni kama ifuatavyo
Hautumii nafasi kubwa ardhini kwa sababu una vipimo vya mita 1 kipenyo na mita moja kina, Na pia unaweza kufukiwa chini usionekane kabisa,na nyumba yako ikaonekana nadhifu nay a kuvutia.
Kuna size mbali mbali kulingana na matumizi ya mahali, mfano kuna size kwaajili ya shule,hoteli,hostels,ukumbi n.k
Ni mfumo usiojaa, hauhitaji kunyonya wala kufanyia matengenezo
Unafaa kwenye eneo lenye majimaji n ahata eneo la mfinyazi sana
Kwa wenye maeneo madogo ambapo unataka uweke system na ufanye shughuli zingine katika eneo hilo.
Ni nafuu kwa gharama pia huchukua muda mfupi kuuweka (siku mbili) na kuwa tayri kutumika.

UZOEFU
Kampuni yetu imeanza kuweka mifumo hii toka mwaka 2013, tumeweka maeneo mengi hapa Tanzania katika mashule,nyumba za kuishi,hoteli,nyumba za kulala wageni,hospitali,mabweni,Vituo vya mafuta-Filling stations,makanisa n.k




ANUANI
MSALLAMO AE LTD
P.O BOX 3407 DSM
Office: Ubungo Kisiwani Market
P.O BX 2 BUKOMBE-GEITA
Office: Room no.42 GAZA STREET-BUS STAND
P.O BOX DODOMA
Office: Block F, House no.8 AREA C, Opposite WAJENZI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom