Karibu mgeni Tanzania Commercial Bank. Benki ya Biashara ya serikali

Serikali imerudi kwa kasi kwenye Biashara mbalimbali, na Sasa inakuja na Benki kubwa ya kibiashara Tanzania ambapo itamilikiwa kwa 100% na serikali.
Benki itaenda kwa jina la Tanzania Commercial Bank.

Inatokana na kuunganishwa kwa Benki ya Posta, Tanzania Postal Bank, Tanzania Investment Bank na Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania, Tanzania Agricultural Development Bank.

Mchakato unafanyika kimyakimya chini ya uratibu wa Bank of Tanzania.

Kaeni tayari kwa hiki kitu kipya.
Bonge la plan. I like the idea
 
NBC LTD ndio bank ya serikal na ningewaona wana akili kuienzi brand ya Twiga wa NBC ila kama anakimbia kivuli cha mkapa basi ipo siku Nyerere atafufuka. End
Hivi mimi niko Tanzania au niko Ulaya? Tangu lini NBC ikawa Benki ya Serikali?
 
Hiyo Bank Itatumika Kuua Bank Binafsi Zoote. Zitapitishwa Sheria Kuibeba Bank Ya Serikali Hadi Tushangae, Transactions Zote Kwenda Nje Lazima Zipitie Bank Ya Serikali.

Private sector JPM haitaji ziwepo, vile tu anashindwa kusema zifutwe zote ila anazibana hadi zifutike zenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama unachosema ni kweli, na anatumia mkakati wa kibiashara kuzifuta, na iwapo kweli zitafutika, tatizo liko wapi? Ikitokea kweli zikautika maana yake zina kasoro kubwa, hazikutakiwa kuwepo. Vinginevyo kama ziko safi hazitaftutika na hakuna anayeweza kuzifuta!
 
Kama unachosema ni kweli, na anatumia mkakati wa kibiashara kuzifuta, na iwapo kweli zitafutika, tatizo liko wapi? Ikitokea kweli zikautika maana yake zina kasoro kubwa, hazikutakiwa kuwepo
Unakosea hapo.Bussiness should be fair and free.Huwezi ukawa unaziwekea mizengwe kampuni nyingine ili usimamishe kampuni ya serikali.Kama kweli hizo za serikali zitakuwa Powerful zingeanza kama mchicha ila sio kusifisha zingine.
Kama kweli ni kweli basi hapo serikali inakwama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ambavyo tunalazimishwa watumishi wa umma kuwa line za TTCL ndivyo tutakavyolazimishwa kuwa na account kwenye hili Benki la kifisadi, na tunalazimishwa mishahara yetu ipite huko
Hahaha ukikataa utauchukulia hazina ukistaafu.
 
Kama unachosema ni kweli, na anatumia mkakati wa kibiashara kuzifuta, na iwapo kweli zitafutika, tatizo liko wapi? Ikitokea kweli zikautika maana yake zina kasoro kubwa, hazikutakiwa kuwepo
Unakosea hapo.Bussiness should be fair and free.Huwezi ukawa unaziwekea mizengwe kampuni nyingine ili usimamishe kampuni ya serikali.Kama kweli hizo za serikali zitakuwa Powerful zingeanza kama mchicha ila sio kusifisha zingine.
Kama kweli ni kweli basi hapo serikali inakwama

Sent using Jamii Forums mobile app
Post yangu uliyoinukuu nimei-edit na inasomeka kama ifuatavyo kwa sasa:

"Kama unachosema ni kweli, na anatumia mkakati wa kibiashara kuzifuta, na iwapo kweli zitafutika, tatizo liko wapi? Ikitokea kweli zikafutika maana yake zina kasoro kubwa, hazikutakiwa kuwepo. Vinginevyo kama ziko safi hazitaftutika na hakuna anayeweza kuzifuta!"

Je bado nimekosea tu kulingana na mtizamo wako
o wako?
 
Uko sahihi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom