Karibu mgeni Tanzania Commercial Bank. Benki ya Biashara ya serikali

Bank zingine zitegemee kubanwa mbavu kisawasawa.
Kama govt possibly ikaweka garama ndogo mno za huduma kiasi bank zingine zikaondoka zenyewe bila hata kufukuzwa.
 
Daah

Kuna yule mkurugenzi wa TADB nadhani anaitwa Japhet J naona kila benki anayohamia inakufa au ina merge. Kila mwaka anahama alianzia UBA nadhani, akaenda TWB ikafa sasa kaenda huku TADB nako wana merge. Muoneeni huruma jamani

kama kweli hiyo benki itaanzanishwa nna hakika CEO wa TPB atapewa ukurugenzi maana ilibaki robo awe CEO wa CRDB
 
Serikali imerudi kwa kasi kwenye Biashara mbalimbali, na Sasa inakuja na Benki kubwa ya kibiashara Tanzania ambapo itamilikiwa kwa 100% na serikali.
Benki itaenda kwa jina la Tanzania Commercial Bank.

Inatokana na kuunganishwa kwa Benki ya Posta, Tanzania Postal Bank, Tanzania Investment Bank na Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania, Tanzania Agricultural Development Bank.

Mchakato unafanyika kimyakimya chini ya uratibu wa Bank of Tanzania.

Kaeni tayari kwa hiki kitu kipya.
Ajira zinakufa kila kukicha hao hao waling'ang'ania kuuza NBC enzi hizo.
Yaani nchi za kiafrika tabu tupu
 
Daah

Kuna yule mkurugenzi wa TADB nadhani anaitwa Japhet J naona kila benki anayohamia inakufa au ina merge. Kila mwaka anahama alianzia UBA nadhani, akaenda TWB ikafa sasa kaenda huku TADB nako wana merge. Muoneeni huruma jamani

kama kweli hiyo benki itaanzanishwa nna hakika CEO wa TPB atapewa ukurugenzi maana ilibaki robo awe CEO wa CRDB

Japhet hajawahi fanya kazi UBA!
 
Mimi naona zitaongezeka kwasababu itawalazimu kufungua matawi nchi nzima na kuboresha zaidi huduma. Mfano Posta kuna sehemu wana vi-matawi vidogooo kama ka kichochoro tu,ikiunganishwa naamini itakwenda kwenye Wilaya zote hivyo lazima watendaji waongezeke.

macson
Tayari Bank ya Posta ina matawi wilaya zote Tanzania
 
Nina uhakika 110% kuwa hiyo bank itauzwa na Rais ajae (ikitokea Rais huyo atakuwa na akili za kawaida).
 
Back
Top Bottom