Karibu mgeni Tanzania Commercial Bank. Benki ya Biashara ya serikali

Jamani naombeni kanuni za sheria ya Huduma ndogo za fedha (MICROFINANCE ACT) za daraja la nne

NAHITAJI KANUNI SIO SHERIA
 
kuna ajira zinapotezwa hapa.........kilio kingine kinakuja.....mtaani kumejaa na wanapunguzwa tena......ila pale TPB kuna kikundi fulani cha kutoa tender kinanuka rushwa na uozo...........wacha waje mtaani tukutane....
 
Bujibuji,

Ua hiki anzisha kile,nonsense!

Sifungui chochote humo

Private sekta ni kubwa 85% ya GDP yote,serikali mchumba tu kwa fedha

Hovyooo
 
...Je mishahara ya wafanyakazi/watumishi wa serikali nayo itapitia katika benki hiyo ya Tanzania Commercial Bank ?
 
Back
Top Bottom