Karibu katika ulimwengu wa Zombies and Vampire

Karibu katika ulimwengu wa Zombies and Vampire

Exformer

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2018
Posts
856
Reaction score
989
Ndugu zangu namba tukutane hapa ili tuweze kupeana movies kali zinazohusiana na mazombi tu na vampire.

Zombies wa movi hiz wawe sio wale wa kupiga hatua moja moja yaan hata kukimbia hawawezi, yaani wawe na speed ya kufa mtu, yani wana-attack balaa.

Kwa ushahidi wa hili embu angalia movie inayoitwa WORLD WAR ZOMBIES ni bonge moja la movies hutajutia.

Ila hapa nawaomba mje tuambiane movies za zombie kali sana ambazo huwezi kuwa bored, ila sio series wadau.

Welcome

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu hapa kwenye movie ya world war z pame nikuna yaani hii movie ni kiboko ya zombie
 
mkuu hata series za zombie mbona ziko vizuri. au umesha sahau ile series ya resident evil 1,2,3,4,5,6,7.
 

Attachments

  • Shot 021.png
    Shot 021.png
    405.7 KB · Views: 16
  • Shot 022.png
    Shot 022.png
    486.9 KB · Views: 13
Napenda vitu vya kutisha hadi sikumbuki idadi wala majina
walking dead
Wrong turn n.k
Napenda kufatilia series,
movies si Sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tafuta Train to Busan 1 & 2. Kuna mwamba aliiweka hapa nkasema niicheki aisee ile ni kwikwiii.
 
Back
Top Bottom