karibu katika baa yetu

Hii bar ni for the real men! Wale kina kalunguyeye wanaokunywa bia 5 na kujifanya wanaogopa kulala pekeyao yaan hawatoki bar bila dem! Hapo lazima waelekee kibla wao wenyewe.
 
itakua inanuka mikojo sana hiyo bar
 
Hahahahaaaaaaa hapa lazima usahau huko nje ni usiku au la!
 
Hahahahahaaa wanarecycke hapo yan unakunywa unachokitoa hapo chni,akhuuu mi siendi bar ya hvyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…