Dreadnought
JF-Expert Member
- Mar 25, 2013
- 2,932
- 4,049
Somalia inaitwaje?Ndio ni moja ila tumika katika mikutadha miwili tofauti ndio maana imezoeleka SMG ila Somalia huwezi kuwaambia inaitwa SMG
Nadhani umenielewa
Somalia inaitwaje?Ndio ni moja ila tumika katika mikutadha miwili tofauti ndio maana imezoeleka SMG ila Somalia huwezi kuwaambia inaitwa SMG
Nadhani umenielewa
Ungeniambia kama hujaelewa nilichomaanisha basi ila sio kuulizaSomalia inaitwaje?
Sidhani kama kazingua, ila ameongea ukweli na si mazoea, hizi bunduki tunazoziita SMG ni tofauti sana na SMG zinyewe. Hizi ni AK 47 ziwe za mrusi au mchina. SMG zenyewe zina magazine ndefu au round tofauti na hizi tunazoita SMGUngeniambia kama hujaelewa nilichomaanisha basi ila sio kuuliza
Namaanisha sehemu nyingi zenye amani hupenda kutumia jina smg na zile za kibabe inatamkwa vile mrusi alivyoiita AK 47.
Lakini pia hizi silaha zinatumia risasi zenye vipenyo tofauti kwa sababu smg zimetengezwa china na AK 47 imetengenezwa Urusi so zote ni sawa ila zinatofauti na ndio maana nilisema kazingua kusema AK 47
sasa hizo ulizotaja ni jela.Nimekaa Mara nyingi sana.nimekaa mbezi kwa yusufu,nimekaa Cha hapo kibangu Riverside,nimekaa urafiki,nimekaa sngda police station nimekaa huko Arusha Nina histori a na vituo vingi tu
Hizo hapoUngeniambia kama hujaelewa nilichomaanisha basi ila sio kuuliza
Namaanisha sehemu nyingi zenye amani hupenda kutumia jina smg na zile za kibabe inatamkwa vile mrusi alivyoiita AK 47.
Lakini pia hizi silaha zinatumia risasi zenye vipenyo tofauti kwa sababu smg zimetengezwa china na AK 47 imetengenezwa Urusi so zote ni sawa ila zinatofauti na ndio maana nilisema kazingua kusema AK 47
Hizo Ni mahabususasa hizo ulizotaja ni jela.