Karibu Ilembula.

Nilitembelea sn eneo hilo la nchi enzi hizo nikiwa nafukuzia demu aliyekuwa hapo Ilembula hospital akiwa mwanafunzi wa chuo cha Nursing.
Na kwa jinsi nilivyo na misimamo demu huyo ndiye mke wangu pekee hadi dakika hii.

Ha ha ha.. Unacicitiza kwamba una misimamo.. Hongera Mkuu..
 
hapo ni baridi kwa kwenda mbele, kila unayekutana naye katoka kupiga ulanzi wa lita 2 hahahhaha watani zangu wote huo Iringa na Njombe NDAULII??
 
Unanikumbusha mwaka 2003 nikiwa nasaka life nauza kalenda na picha toka mbeya, chimala, ubaruku, makambako, hadi mafinga, kulikuwa na guest house moja hapo nimesahau jina kama sio Gift, baridi kali na ulanzi kwa kwenda mbele, mabint wa guest kama si kumuomba mungu huenda yangekuwa mengine!
 
unanikumbusha mwaka 2003 nikiwa nasaka life nikiwa nikiwa nauza kalenda na picha za ukutuni nikitokea mbeya,chimala,rujewa, ilembula, kuelekea makambako hadi mafinga, kulikuwa na guest moja nafikr inaitwa gift, mabint wakung'ang'anie kama si kumuomba mungu da sijui ningelikuwa wapi.
 
Bila shaka hiyo picha ilipigwa maeneo ya karibu na baa Mnyonge ukitokea hosp
 
Back
Top Bottom