Mpigamsuli
JF-Expert Member
- May 24, 2012
- 3,885
- 584
dogo nakuheshimu 7bu someone hinted that you attended TBR school. Ningekutoa shoo. Nimesoma pale miaka 6 usiangushe shule ile.haijawah kutoa kituko.nimefuata aina ya kozi cjafuata jina la chuo. Nataka nikimaliza niitwe engineer. Ww utaitwa nani? Nimeangalia future ya irrigation naona ipo na ni eneo ambalo ntatoe mchango wangu vzuri ktk ujenzi wa taifa langu ipo damuni. Naheshimu machaguo ya wengine ukiwemo ww mdogo wngu. By the way mi ni kakako mkubwa sn .
Salimia muccobs.
mwana tbr school gani umeenda pale miaka miwili na kakombi kako ka kishwain? Mie pale miaka sita! Kati yangu na ww?nani mwana tbr school? O level ulisoma wapi we mbuzi mawe?Dah hata kuandika hujui unatuaibisha wana TABORA SCHOOL ,
mwana tbr school gani umeenda pale miaka miwili na kakombi kako ka kishwain? Mie pale miaka sita! Kati yangu na ww nani mwana tbr
School? O level ulisoma wapi we mbuyi mawe?
mwana tbr school gani umeenda pale miaka miwili na kakombi kako ka kishwain? Mie pale miaka sita! Kati yangu na ww nani mwana tbr
School? O level ulisoma wapi we mbuyi mawe?
dogo nina hakika utaenda kufaulu vizuri hiyo kozi ya marketing. Maana jina la mpigamsuli mpaka hapa limefahamika kiasi
Cha kutosha. Hongera dogo kwa hilo.
kwa mfano umechaguliwa udsm Bed na mwingine irrigation eng wdmi nan dume?
Je,chuo kinatoa degree?
Niko tayari kwa maswali yenu kuhusu water development and management institute(WDMI) kilichopo ubungo karibu na UDSM.