Karibu Chuo cha Kilimo na Mifugo Kaole

kipusi

JF-Expert Member
Sep 29, 2015
443
75
Njoo jiunge na chuo cha kilimo na mifugo kaole wahi sasa nafasi ni chache kwa wanafunzi wa kidato cha nne na sita.
 
ada,sifa za kujiunga weka hapa.i mean qualification entry ili uwe admitted
 
Chuo cha Kaole kilichopo Bagamoyo
kimesajiliwa na NACTE kwa usajili
namba REG/ANE/030P, kama chuo
binafsi kilichopo Bagamoyo, Mkoani
Pwani Chuo kina dhamira ya kuwaandaa
wataalamu waliobobea katika sekta ya
kilimo watakaowahudumia wakulima
wadogo an wakati wanaohitajika
katika mapinduzi ya kilimo Tanzania
kama yalivyoelezwa katika dhana ya Kilimo Kwanza. Contact Us P.O. Box 99, Bagamoyo, Pwani,
Tanzania Tel: +255 754 306 598 +255 767 517 287
+255 754 307 867
+255 754 758 923 E-mail: info@kaolecollege.ac.tz
kaole.agricollege@yahoo.co.uk
 
Hivi problem ya ownership ya chuo hiki imeisha? Niliwahi kumsikia Bulembu CCM akisema kuna matatizo. Tafdhali fafanua hili.
 
Back
Top Bottom