Karibu CCM Fahami Matsawili

Karibu CCM Fahami Matsawili

Suleiman Mfua

Member
Joined
Feb 27, 2014
Posts
62
Reaction score
64
Hongera sana swahiba wangu Fahami Matsawili kwa maamuzi ya Busara, Hekima na uzalendo wa hali ya juu kwa kujiunga na chama cha mapinduzi CCM mapema leo.

Hakika wewe ni mmoja kati ya vijana wachache wasomi ambao si watumwa wa kifikra pia mmejaaliwa uzalendo wa hali ya juu kwa taifa hili la Tanzania.

Karibu sana CCM tujenge nchi pamoja katika misingi ya Demokrasia ya kweli na Uhuru wa Mawazo.t
1475138273109.jpg
 
Kama kuna msomi anashawishika kujiunga na ccm hii ya leo bila kurubuniwa kwa fedha na ahadi za fursa za kutoka kimaisha huyo atatakiwa ahakikiwe vyeti vyake toka primary school nina mashaka atakuwa mkimbizi au muhalifu anyejongea kwenye kichaka cha waovu ili kupata hifadhi hapo
 
Hongera sana swahiba wangu Fahami Matsawili kwa maamuzi ya Busara, Hekima na uzalendo wa hali ya juu kwa kujiunga na chama cha mapinduzi CCM mapema leo.

Hakika wewe ni mmoja kati ya vijana wachache wasomi ambao si watumwa wa kifikra pia mmejaaliwa uzalendo wa hali ya juu kwa taifa hili la Tanzania.

Karibu sana CCM tujenge nchi pamoja katika misingi ya Demokrasia ya kweli na Uhuru wa Mawazo.tView attachment 408952
Akatwe mkia haraka halafu aingizwe zizini
 
Back
Top Bottom