Karibu CCM Fahami Matsawili

Karibu CCM Fahami Matsawili

kwao wapo vizuri vyama vyote wamepitia kutakuwa kuna kitu wanatafuta bado hawajakipata ila huko alikoenda sio wala nini bora angeenda NLD au au chama cha jogoo mzee wa vunjo
Hapana angebaki ACT,
 
To hell,hivi msomi wa sasa anayejiunga na ccm achunguzwe atakuwa na upumbalism kichwani..
 
Ni nani? amewahi kufanya nini? mbona hajulikani? ana umuhimu gani? usituletee mambo ya 'masaranga ya standi bukoba' humu wewe!
 
kama kijana mwenye dream za kufika mbali katika ulingo wa kisiasa anzia CCM utajifunza mengi sana pia bahati inaweza kukudondokea ukapata nafasi nzuri ya kupractise
 
Ajira ni issue, kheri ateuliwe kukimbiza mwenge ale. Wapinzani hawana mwenge! Awasiliane na mwenzetu Dr Bana ampe vitendea kazi
 
KWA JPM KILA GOTI LITAPIGWA NA ULIMI UTAKIRI
Acha laana wewe!!! Imeandikwa amelaaniwa amtegemeae mwanadamu na rohoni mwake kumsahau MUNGU, na kila ulimi utakiri, na kila goti litapigwa kwake yeye aliye juu(MUNGU). Hapa sijajua ni JPM yupi kwani wapo wengi, ila kama ni Mh wetu , usimtafutie ugomvi na hasira ya MUNGU ikawaka, MUNGU atatuangamiza kama wakaanani, wahiti na waperizi. Tchaaaa,
 
Hongera sana kwa katika chama chenye kuheshimu uhuru wa mawazo ya wanachama wake.
Tofauti wenzetu wa ufipah ambao kauli ya Mfalme wa hai inaheshimika kuliko hata katiba ya chama


Mnaonyesha nyinyi watu wa Kagera mna cheap politics sana yaani Mh kusema jana tu kuhusu mitandao na nyinyi mmeona ni fursa ya kujionyesha huku ili awaone, upuuzi kabisa mwambie huyo jamaa yako Magu hafanyi kazi na wasaliti, yupo makini sana na masnitch like huyo otherwise ataaniacha mdomo wazi, kutapatapa kooote kwa nini anawaza kweli hata kufanya kazi ili kuchangia pato la Taifa au ni kijana wa maktaimu
 
Ukiona fisi anazunguka kila pori jua anatafuta mfupa, kila pori anapopitia anakosa mfupa na hatokaa akatulia katika pori moja maisha yake yote.

Sasa huyu Masterwile mimi nilishamgundua na harakati zake za danganya toto kujifanya anatete vijana lakini hakuna kitu anasaka tonge tu.Mawaze yake ni kua akienda CCM ataonekana kama kina Pole pole na Mwampamba ili apewe hata ukuu wa wilaya.Mchezo ya kitoto sana hiyo na ndio maana siku hizi hoja zake ni za kitoto.
 
Huyu dogo nae kimeo tu, na sijawahi kumuelewa , Baba ake ni Diwani WA cuf kata Nyakibimbili na yeye mwanzoni alikuwa CHADEMA baadae akaamia ACT akagombea ubunge Bukoba Mjini akapigwa naona kaamua kuamia kwa CCM, Dogo ungetulia tu
kwa nyakati kadhaa akiendesha harakati zake hapo UDSM ni kiwa mwaka wa kwanza 2012nilipata kumuona revolutionary square nikadhani ni mwanaharakati halisi wa watoto wa masikini muda ulivyosogea nikamuona akitoa chambuzi zake malumbano ya hoja nikadhani CDM au ACT baadae vuguvugu la wakuu wa mikoa na kina hamfrey polepole Nikaelewa sasa dhahiri ni CCM Sasa Kwa watu ambao tu waumini wa umajumuni wa siasa za mabadiliko tunamuona nae ni mwendelezo wa mfumo ulioshindwa wa chama cha kijani ambae amekuwa akijaribu kujipapatua kutoka mkiani mwa vijana waliokosa ajira Muda mfupi ujao atapewa cheo fulani.
Yetu macho.
 
Halafu mnamuita msomi bila hata aibu kabisa, yaani Fahami naye ni msomi au mnamaanisha mtu aliyehudhuria mafunzo ya elimu ya juu? Huyu kijana ni mjanja sana na anataka kutumia siasa kutoka na sio kupigania nchi, jiulizeni kilichomtoa chadema ni nini zaid ya kukosa nafasi ya kugombea ubunge na kilichomtoa Act ni kukosa ulaji pia, sasa hapa ameona ajaribu kurusha kete yake kupitia ccm huenda 2020 atapewa wa mezani na sio nia ya dhati ya kujiunga na hicho Chama cha kijani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom