CharmingLady JF-Expert Member Joined Apr 16, 2012 Posts 18,304 Reaction score 12,999 Jan 13, 2013 #21 watu8 said: hahaha...we mkareee wa methali Click to expand... Umeona eeeh... nilipitia uticha zamani saana.. nilifundisha kwa muda wa siku 3 na robo.. Darasa la awali, chekechea na vidudu!!!!!
watu8 said: hahaha...we mkareee wa methali Click to expand... Umeona eeeh... nilipitia uticha zamani saana.. nilifundisha kwa muda wa siku 3 na robo.. Darasa la awali, chekechea na vidudu!!!!!
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 77,352 Reaction score 111,627 Jan 13, 2013 #22 charminglady said: Umeona eeeh... nilipitia uticha zamani saana.. nilifundisha kwa muda wa siku 3 na robo.. Darasa la awali, chekechea na vidudu!!!!! Click to expand... umenikumbusha mwalimu wangu wa Kiswahili hapo Ilboru miaka hiyo...yeye alikua anafundisha methali,vitendawili na nahau tu. R.I.P Morris Mgaya
charminglady said: Umeona eeeh... nilipitia uticha zamani saana.. nilifundisha kwa muda wa siku 3 na robo.. Darasa la awali, chekechea na vidudu!!!!! Click to expand... umenikumbusha mwalimu wangu wa Kiswahili hapo Ilboru miaka hiyo...yeye alikua anafundisha methali,vitendawili na nahau tu. R.I.P Morris Mgaya
CharmingLady JF-Expert Member Joined Apr 16, 2012 Posts 18,304 Reaction score 12,999 Jan 13, 2013 #23 watu8 said: umenikumbusha mwalimu wangu wa Kiswahili hapo Ilboru miaka hiyo...yeye alikua anafundisha methali,vitendawili na nahau tu. R.I.P Morris Mgaya Click to expand... Hebu tupia nahau moja basi....
watu8 said: umenikumbusha mwalimu wangu wa Kiswahili hapo Ilboru miaka hiyo...yeye alikua anafundisha methali,vitendawili na nahau tu. R.I.P Morris Mgaya Click to expand... Hebu tupia nahau moja basi....
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 77,352 Reaction score 111,627 Jan 13, 2013 #24 charminglady said: Hebu tupia nahau moja basi.... Click to expand... Sorry daughter nilienda kupekenyua kwenye kidaftari changu maana hadi leo ninacho: Papo kwa papo, kamba hukata jiwe Ndugu chungu, jirani mkungu Mwenye njaa hana miiko Mume wa mama ni baba Mtembezi hula miguu yake Mtaka nyingi nasaba hupata mwingi msiba Mla nawe hafi nawe ila mzaliwa nawe Mjinga akierevuka mwerevu yupo mashakani Mchama ago hanyeli,huenda akauya papo Jino la pembe si dawa ya pengo
charminglady said: Hebu tupia nahau moja basi.... Click to expand... Sorry daughter nilienda kupekenyua kwenye kidaftari changu maana hadi leo ninacho: Papo kwa papo, kamba hukata jiwe Ndugu chungu, jirani mkungu Mwenye njaa hana miiko Mume wa mama ni baba Mtembezi hula miguu yake Mtaka nyingi nasaba hupata mwingi msiba Mla nawe hafi nawe ila mzaliwa nawe Mjinga akierevuka mwerevu yupo mashakani Mchama ago hanyeli,huenda akauya papo Jino la pembe si dawa ya pengo
Bishanga JF-Expert Member Joined Jun 29, 2008 Posts 15,321 Reaction score 10,140 Jan 14, 2013 #25 wana kongoro tamu sana hapo