Karibu be forward

Karibu be forward

DAIHATSU TANTO niya 2009 ina CCC 650 pia ina milango 5 na viti 4 inatumia petrol inauzwa USD 839 nisawa na tsh 19297000 na garama za tra ni tsh 10852992 jumula ni tsh 1278269
Uandishi wa namba wanichanganya kidogo
 
Tatizo kodi iko juu inasababisha bei ya gari ina-double
 
Karibuni kwa punguzo kubwa
32672-concept_6_OR.jpg
 
Mkuu ikiwa nahitaji kuileta zanzibar na kuilipia huku ushuru je inawezekana? Au lazima nilipie ushuru wa dar kwa kuwä tayari ipo kwenye system?
 
Back
Top Bottom