Karibu be forward

Karibu be forward

kluger na herrier 2007 - 2008
Kluger tuna 2006 kushuka chini hii 2006 engine capacity CCC 2360 inatumia petrol ina milango 5 na seat 5 garama za kununua ni tsh 9,542,700 tra ni tsh 13,455,367.32 jumula ni tsh 22,998,067 million
BF940992_e9d41a.jpg
 
Be Foward , jaribu kutumia alama za uandishi (koma, vituo, e.tc), hesabu zako zinaleta tabu, mfano: Tshs. 1,300,000.00, baada ya kuweka point za desimali, hesabu kila baada ya number tatu uweke koma, back to the topic, Raum, Spacia na Honda Hrv naomba price ya hayo magari nilinganishe na bajeti yangu, usiache kunitag tafadhali!
Toyota raum ni ya 2008 ni automatic na engine capacity CCC 1490 inatumia petrol ina milango 5 na seat 5 garama za kununua ni tsh 4,510,300 na tra ni tsh 5,467,665.39 jumula ni tsh 9,977,965View attachment 859568
BF948838_4ee236.jpg
 
Naombeni mnikokotolee hizo hesabu za TRA maana kodi ni kibwa sana.. au kama imejumuishwa na kodi ya uchakavu..
 
Naomba kujua gharama kama nitaagiza Suzuki escudo ya mwaka 2006.
 
Toyota spacial ya 2006 ni automatic ina engine capacity CCC 1790 inatumia petrol ina milango 5 na seat 7 garama za kununua ni tsh 5,828,200 na tra ni tsh 7,593,110.38 jumula ni tsh 13,421,310View attachment 859593
BF948838_4ee236.jpg
BF945076_5997aa.jpg
 

Attachments

  • BF945076_f7bc25.jpg
    BF945076_f7bc25.jpg
    30.9 KB · Views: 50
Nataka kuagiza au hata kama mnayo Toyota premio with cc 1490 au inayokaribiana na hiyo nipeni bei na details kidogo.
 
Naomba bei za Honda CR V, DBA-RE4,na RE3 bei zako, kuanzia ya chini mpaka ya juu..

Na kama unayajua vizuri naomba unipe ubora wake na udhaifu wake.. Ili nifanye maamuzi
 
Karibu be forward upate bizaaa mbalimbali kwa punguzo kubwa pale unapo tumia BFS ID 326720 hii itakupa punguzo hadi 80%
Kuna gari liteace truck, BG003206 ya mwaka 2001 ni sh ngapi hadi kufika Dar pamoja na kodi Tra?
 
DAIHATSU TANTO niya 2009 ina CCC 650 pia ina milango 5 na viti 4 inatumia petrol inauzwa USD 839 nisawa na tsh 19297000 na garama za tra ni tsh 10852992 jumula ni tsh 1278269
USD 839 ni sawa na Tsh. ngapi?
 
Back
Top Bottom