Ujasilia mali wa mjini asilimia kubwa unatagemea sana umeme, inafika wakati mtu unafikiria kuukimbia mji lakini unapofikiria kijiji unasita. Mbaya zaidi unawaona wale ulowapa mamlaka wanapeta. Inauma sana wana jf

Du una spidi wewe ; kwa nza umeingilia dirishani halafu hata hatujakupa maji ya kunywa ushaanza kutapatapa.................haya tulia ka hapa kwneye jamvi ; kunywa maji utulize ghubu lako halafu baadaye ukisha pigwa na upepo utatusimulia yote yanayokusibu..........ondoa shaka utasikilizwa tu!