Karibia wanawake 4 sasa ninaotongoza wananiambia nina sura ya kilevi!

kinyamkela mahaba

JF-Expert Member
May 4, 2022
1,181
1,574
Kwema? Watatu wa mwanzo waliniambia kuwa hawapendi wanaume walevi kwani ni wakorofi mno na wanapiga sana wanawake.

Hata nilipowaambia mimi situmii pombe wala bangi hawakuamini.

Hivi hii ikoje? Sura ya kilevi ipoje?

Mbaya zaidi na huyu wa nne naye alinikataa juu juu akisema hatoki na wanaume walevi, najiuliza sana ulevi wangu upo wapi? Mbona mimi ni mtu safi tu?

Yaani naambiwa nina sura ya kilevi. Sasa sielewi hiyo sura ya kilevi ipoje?
 
Itakuwa huna hela au bahili kwenye kutoa takrima kwa kina dada.
Hivi viumbe vya kike vina uwezo wa kubadilisha mtazamo kwa kiasi sahihi cha pesa.
Ukitaka kusadiki maneno yangu fanya kutuma muamala kwa mmoja wa hao waliokukataa halafu uone ghafla utakavyobadilika toka sura ya kilevi mpaka baby face.
Kama walisema una macho ya kilevi utaambiwa una sexy eyes.
Uzuri ama ubaya wa sura yako upo mfukoni mwako.
 
Hahahaha
 
Kwema? Watatu wa mwanzo waliniambia kuwa hawapendi wanaume walevi kwani ni wakorofi mno na wanapiga sana wanawake.

Hata nilipowaambia mimi situmii pombe wala bangi hawakuamini.

Hivi hii ikoje? Sura ya kilevi ipoje?

Mbaya zaidi na huyu wa nne naye alinikataa juu juu akisema hatoki na wanaume walevi, najiuliza sana ulevi wangu upo wapi? Mbona mimi ni mtu safi tu?

Yaani naambiwa nina sura ya kilevi. Sasa sielewi hiyo sura ya kilevi ipoje?
 
Attachments

  • deed5ff644655f7b99ba1ff6559532f0_1.jpg
    deed5ff644655f7b99ba1ff6559532f0_1.jpg
    20.1 KB · Views: 3
Kwema? Watatu wa mwanzo waliniambia kuwa hawapendi wanaume walevi kwani ni wakorofi mno na wanapiga sana wanawake.

Hata nilipowaambia mimi situmii pombe wala bangi hawakuamini.

Hivi hii ikoje? Sura ya kilevi ipoje?

Mbaya zaidi na huyu wa nne naye alinikataa juu juu akisema hatoki na wanaume walevi, najiuliza sana ulevi wangu upo wapi? Mbona mimi ni mtu safi tu?

Yaani naambiwa nina sura ya kilevi. Sasa sielewi hiyo sura ya kilevi ipoje?
Weka picha mkuu 🤭🤭🤭
 
Attachments

  • Screenshot_20221108-192017_Google.jpg
    Screenshot_20221108-192017_Google.jpg
    180.3 KB · Views: 5
Back
Top Bottom