Karibia mtaa mzima Sinza A tumeibiwa

Na ikitokea dharura ya moto sijui utaokokaje hapo..
 
Ipo siku mtapewa kesi ya mauaji mkafungwa maisha au kunyongwa
 
Kuna jamaa yangu alikuwa kampuni moja ya ulinzi, kila asubuhi akirudi anakuta jamaa wameiba hata suruari,

Akawa anaweka umeme 'live wire' kwenye nondo kwa ndani.

Tangu siku alipokuta yebo yebo dirishani hiyo tabia iliisha hapo.
 
Sinza A ipo usawa upi?
 
Poleni sana.

Marekebisho kwenye fasihi sio KUIBIWA kwa muktadha wa habari yako ni KUIBWA.
 
Dawa ni kutoweka vitu vya thamani karibu na madirisha..
Niliwahi ibiwa simu 2010 kwa staili, mpaka leo huwa siachi simu kizembe zembe!
 
Hii ndio suluhisho sahihi. Tatizo watanzania bado tunaishi kizamani mtu unaibiwa kitu halafu bado eti unauliza "nifanye nini" hivi ni kweli kwmb hujui cha kufanya?
 
grill pana inawashawishi wezi wapate tamaa ya kuiba mpaka sofa
 
dar es salaam bwana!!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…