yale mafuriko ya masasi tandahimba mtama etc ni mbeya na arusha?hawa si ndo aliowaahidi wataendelea kuwa wamachinga for the rest of their lives.
Tafiti zimeonesha kuwa Lowassa ANGALAU anapendwa mijini. Tatizo UKAWA hii mnafikiri Tanzania yooote ni Dar, Mbeya mjini na Arusha mjini, Tanzania kubwa sana! Na wapigaji kura wengi hawapo katika miji hii, oooo ooooh!
yale mafuriko ya masasi tandahimba mtama etc ni mbeya na arusha?
nani kakuambia kura hata pata angalia matokeo ya serikali za mitaa yalikuwaje ile ilkuwa kabla ya gia kubadlishwa angani, baada ya gia kbadilishiwa angani subiri kiama.Kwani Tatizo Ni Mafuriko Au Kura?
Watu siku hizi hawadanganyiki kariakoo wameonyesha mfano
hawa si ndo aliowaahidi wataendelea kuwa wamachinga for the rest of their lives.
Tafiti zimeonesha kuwa Lowassa ANGALAU anapendwa mijini. Tatizo UKAWA hii mnafikiri Tanzania yooote ni Dar, Mbeya mjini na Arusha mjini, Tanzania kubwa sana! Na wapigaji kura wengi hawapo katika miji hii, oooo ooooh!
Ushindi wa Lowassa ni asilimia zaidi ya 70.
wewe hujitambui ,hujui kwamba kariakoo ni mkusanyiko wa watu wanao kuja kufanya biashara na wateja mbalimbaliWatu wenye akilı na wanaojitambua,hawakai vijiweni kupayuka mambo ya siasa.Vijiwe vya watu wa Kariakoo na wengi madalali wa mazao toka mikoanı na misheni town pamoja na wadokozı ndo hao watakuwa wamehusika na hyo survey.Wengi wanaojitambua hauweza kuwakuta wanapayukapayuka na mambo hayawaingzıı kıpato.
Nawaona mnavyoufukuza upepo bila kuuona wala kuukamata Lowasa kuingia ikulu kwa kura za wanachi hilo msahahu kwasababu wananchi sasa hv wameamka washajua kwanza fisadi pili mgonjwa
hahahaaaa hata kama mgonjwa bora akaugulie ikulu ...bora lowasa mara mia kuliko hao wauza madawa ya kulevya wazee wa escrow hahahaaaa
Kwani Tatizo Ni Mafuriko Au Kura?
kama ataenda kuugulia ikulu sasa huo muda wa kufanya hayo maendeleo ataupata?
kama ataenda kuugulia ikulu sasa huo muda wa kufanya hayo maendeleo ataupata?