mshikachuma
JF-Expert Member
- Dec 2, 2010
- 2,853
- 626
Kaka najitahidi sana mpaka nakaribia kushindwa! nafikiri hapa tunahitaji tawi la CDMipo siku wataelewa tu chadema ni nini ...na watakiunga mkono ..we endelea kuwapa mistari tu usichoke
Mkuu ni sawa baadhi yao wanasifa kama hizo ulizoorozesha hapo japo si wote' lakini na wazazi wao kulikoni?SWALI
Hao jamaa zako wanajikumu kimaisha kupitia njia halali au ni wajanja wajanja, ma maliyoo, wapiga mizinga maarufu na matapeli wazoefu? usitegemee madaliko makubwa sana kutoka kundi hili.
SWALI
Hao jamaa zako wanajikumu kimaisha kupitia njia halali au ni wajanja wajanja, ma maliyoo, wapiga mizinga maarufu na matapeli wazoefu? usitegemee madaliko makubwa sana kutoka kundi hili.
Sijakuelewa unachomaanisha. Hebu sugua bongo yako kwa faida ya wengine, i mean changia hoja yakoHakuna Makanisa strong hapa kwa hiyo rituljia haipigwi sawasawa
Nafikiri wewe ni mmoja kati ya watu walionipelekea mm kuazisha threed hii.Habari ya udini chadema na ukabira hasa Uchaga vina fanya watu wengi waishitukie CDM
Mkuu nashukuru sana kwa maoni yako! is very good sound from u. Lakini huwezi amini jinsi gani napigana ki mawazoMkuu inawezekana njia unayotumia ku-deliver criticism zako dhidi ya CCM haiwa-convince kuafiki hoja zako..
Inawezekana unatumia jazba kuwaelewesha hao watu..
Jaribu kuto-mention CCM au Kikwete wakati unawashawishi na badala ya hapo jadiliana nao kuhusu mambo yanayowagusa na uwaeleze jinsi ambavyo Serikali ingekuwa makini yasingekuwa kama yalivyo sasa, Mfano: Tatizo la Umeme, Ukosefu wa ajira, Matokeo mabaya ya mitihani ya NECTA, Foleni n.k
Kubwa zaidi, wape nafasi ya kueleza hoja zao,, wasikilize zaidi, jifunze kutoka kwao ili uweze kuwafundisha vyema..
Hebu kajaribu, ikishindikana, njoo tujadiliane zaidi..
Mkuu nashukuru sana kwa maoni yako! is very good sound from u. Lakini huwezi amini jinsi gani napigana ki mawazo
na busara juu ya hawa watu. Nilianza hata kabla ya uchaguzi mkuu wa 2010. Huwa natumia hekima na busara na mi
fano kibao,lakini wapi mkuu!
Mkuu nakubaliana na wewe kwa asilimia miamoja. Hichi ulichoandika ni mtazamo safi unaoendana na kilio changu cha hawa wakaziPolitics is tactics kama ilivyo vita. Inaelekea Chadema wame concentrate on the national level zaidi na wakati wanachama wana toka grassroots. In short Chadema inabidi ikae chini na kuamua ni maeneo yapo ni strategic areas. Hili lina wezekana kwa kufanya survey na kuangalia population na muamko wa kisiasa wa eneo. Wakisha tenga hizo strategic areas wafungue matawi kama bado hawana matawi. Wakisha fungua matawi wajaribu kuattract members wachache wa jamii hiyo ambao wana heshimika. Pata ring leaders kwenye makudni makuu ya vijana, wazee na wanawake na hawa waipigia kampeni CDM at a grassroots level. Na hapa naongelea something more planned and organized. I'm telling you hivi vyama vyetu havina tacticians ambao siyo wana siasa. Kuna hitajika tacticians na wanasiasa.
mmmmh......nimekupata mkuu lakini sifikiri kuwa eti wanaichagua ccm kwa vile wanamaisha mazuri' maana hapa kkoo na Ilala kuna watunimeishi kariakoo pia, mi nahisi kwasababu hawana shida za hapa na pale, as kariakoo na ilala kuna maji, mitaa yote ya kariakoo ina barabara.lele mama,wanategemea madili kuendesha maisha yao.unategemea nini?then majority ni waislam as kwasababu kikwete ni muislam basi wao roho zao burdaaaaaaaaaaaani. hata kama wanashida