United ya Ferguson
JF-Expert Member
- Oct 29, 2021
- 3,237
- 6,604
Noma sana!
Yaani wala sielewi unamaanisha nini hapa?1. Biashara ya jezi mfano jezi za Simba, Manchester, Arsenal, Livepoor, Yanga, Mtibwa.
N.k
2. Biashara ya simu na vifaa vyake mfano simu za android na iphone
3. Biashara ya vifaa vya electronic mfano sabufa, TV, fridge, rice cooker n.k
4. Biashara ya magauni ya wanawake. Mfano magauni ya kinamama, magauni ya kinadada
5. Biashara ya mapambo ya majumbani mfano mapazia, neti, mashuka, foronya, mito Sofa cover,mazuria nk
6 biashara ya vyombo vya majumbani mfano blender,sahani,hot pot,
7 biashara ya mikoba ya wanwake mfano Asante,nk
8 biashara ya nguo za ndani za kinadada mfano chupi,taiti,sidilia n k
9 biashara viatu vya wanawake mfano block heels,viatu vya wachina,
10 biashara ya suruali za kike mfano chambu, skin jeans,truck suit nk
11 biashara ya jeans za kiume
12 biashara ya vipodozi
Nb hizo ni baadhi tu
ayo ni mawazo mbalimbali ya biashara zinazofanyika kariakooYaani wala sielewi unamaanisha nini hapa?
Naskia wana kamtaa kao kabsa
Upo mzee mtaa wao uko nikuanzia SAA tano usiku mabinti yakihindi nakiarabu yamejazana mazuri balaaNaskia wana kamtaa kao kabsa
Nitajie huo mtaa siku nikawape haiUpo mzee mtaa wao uko nikuanzia SAA tano usiku mabinti yakihindi nakiarabu yamejazana mazuri balaa
Tahadhari Mkuu pale ukienda usiende kwa lengo lakuangalia walivyo nikosa na utajuta labda uwe ndani yagari yako nausishuke Wala kushusha kioo...hawataki watu wanaopita tu kuwaangalia kuwaona wanataka mtu ukipita hapo uwanunue sio kuwachora .utachapwa viwembe nakuibiwa...maana hao warabu nawahindi wengi wao niwahumo humo maghorofani wengine...Ila mzee baba wademu niwazuri balaa wakiarabu wakihindi daaaNitajie huo mtaa siku nikawape hai
Ukiwa sheli ya total hapo kariakoo Kama unaenda mnazi mmoja Sasa ukiwa upo upande wa sheli huo fanya Kama unaenda mnazi mmoja hesambu mtaa wakwanza utaupita utaenda mtaa wapili Sasa kunja kushoto tembea nadhani sjui ndo unaitwa mtaa wa Mafia vile Kuna ghorofa Kama mbili Zina baa ghorofa moja iko upande wa kulia inabaa floor ya pili na upande wakushoto ipo ghorofa ingine Ina bar pia...Sasa ukipata uwaone warabu nawahindi walivojazana nje chini nenda kuanzia SAA sita nihatar utajiokotea mitoto yakiarabu nakihind kibaoJina la mtaa nipo kariakoo gerezani hapa
Sjakuelewa hapoBiashara ya ngada..biashara ya ky..biashara yaa..
#MaendeleoHayanaChama
Pale nenda kuanzia SAA sita utajioketea mitoto yakiarabu nakihindi mizur balaa daa wenye hela wanafaidi aisee
SAA sita usikuPale nenda kuanzia SAA sita utajioketea mitoto yakiarabu nakihindi mizur balaa daa wenye hela wanafaidi aisee
Duuu,bei zao mkuu?Pale nenda kuanzia SAA sita utajioketea mitoto yakiarabu nakihindi mizur balaa daa wenye hela wanafaidi aisee