kariakoo market co-orperation

kariakoo market co-orperation

Transkei

Senior Member
Joined
Sep 19, 2011
Posts
114
Reaction score
68
habari wana JF,hawa jamaa walitangazaga nafac za kazi za internal auditor,procurement na wholesale market clerk,vp washaita watu kwa ajiri ya interview?
 
Hao bwana wbabaishaji. maana hilo sio tangazo la kwanza kwa upande wangu kuliona na mimin kutuma maombi lakini sikuwahi kuitwa kwenye intavyuu hatan siku moja
 
thanx mkuu kwa hiyo info.inaonekana hili shirika bado hawajajipanga!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom