Kariakoo kuna NJAA Kweli AU?! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kariakoo kuna NJAA Kweli AU?!

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Emma Lukosi, Sep 25, 2010.

 1. Emma Lukosi

  Emma Lukosi Verified User

  #1
  Sep 25, 2010
  Joined: Jul 22, 2009
  Messages: 932
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Jamani Dar es salaam Tunatia Aibu, Vinjaa vya siku mbili visituponze kwa miaka kumi. Ili naweka wazi mwenye chuki na anichukie VIZEE VYA KARIAKOO VIMEZIDE UKABWELA WALA MAKAMBA HAKUONGOPA, Kariakoo kuna support kubwa ya CCM. Wajumbe, Madiwani hadi Mbunge wote ni CCM. Maisha mabovu, Miundo mbinu mibovu lakini bado tu.

  Tunashindwa kimawazo sana na wenzetu wa mikoani. Nani Aliesikia Kauli ya ZUNGU Mbunge wa ILALA Bungeni kuhusiana na kero za wamachinga na uchafu uliokihiri, kama yupo naomba Anitukane, Ina maana K.Koo hakuna Kero?!. Wamachinga wenzangu TUSIDANGANYIKE, BARABARANI TUUZE LAKINI CCM NO!.

  'Dar es salaam Standup put your hands up..':music::peace:
   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  Sep 25, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,252
  Likes Received: 19,383
  Trophy Points: 280
  mkuu afadhali umewakumbuka hawa jamaa watanzania wenzetu wa kariakoo. Wamejisahau sana.njoja tuwaamshe.
   
 3. Emma Lukosi

  Emma Lukosi Verified User

  #3
  Sep 25, 2010
  Joined: Jul 22, 2009
  Messages: 932
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Jamani Dar es salaam Tunatia Aibu, Vinjaa vya siku mbili visituponze kwa miaka kumi. Ili naweka wazi mwenye chuki na anichukie VIZEE VYA KARIAKOO VIMEZIDE UKABWELA WALA MAKAMBA HAKUONGOPA, Kariakoo kuna support kubwa ya CCM. Wajumbe, Madiwani hadi Mbunge wote ni CCM. Maisha mabovu, Miundo mbinu mibovu lakini bado tu.

  Tunashindwa kimawazo sana na wenzetu wa mikoani. Nani Aliesikia Kauli ya ZUNGU Mbunge wa ILALA Bungeni kuhusiana na kero za wamachinga na uchafu uliokihiri, kama yupo naomba Anitukane, Ina maana K.Koo hakuna Kero?!. Wamachinga wenzangu TUSIDANGANYIKE, BARABARANI TUUZE LAKINI CCM NO!.

  'Dar es salaam Standup put your hands up..':music::peace:
   
 4. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #4
  Sep 25, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,263
  Likes Received: 21,981
  Trophy Points: 280
  Twafa na njaa huku yaani balaa tupu.
  Makamba ahstahili kura zetu wala ccm
   
 5. Junius

  Junius JF-Expert Member

  #5
  Sep 25, 2010
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,183
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 133
  Kumbe matusi ya Makamba yanasaidia kuzindua watu enheee....!!!
   
 6. Emma Lukosi

  Emma Lukosi Verified User

  #6
  Sep 25, 2010
  Joined: Jul 22, 2009
  Messages: 932
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Wale wazee Aliokua Anaongea nao Jk Kwa niaba Ya Wafanyakazi, Wote wale wanywa Gahawa wa K.Koo. Acheni Hizo.:mad2:
   
Loading...