Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,866
- 4,260
si vizuri lakini. wanaishushia hadhi kariakoo
Imeshakuwa kama kamchezo kwa viongozi mbalimbali kuitumia Kariakoo kama mfano mbaya pale wanapotaka kufananisha na jambo baya
Awali kabisa alikuwa Makamba. Nikaja kumsikia tena jamaa mmoja akiitwa Komba. Yupo PWC kama auditor. likuwa katika kipindi cha kippima joto ijumaa iliyopita-itv. sasa tena huyu mama Makinda. Msiwe kama watu wa Kariakoo. Watu wa Kariakoo ni kina nani hao? Ni wale wanaoishi pale au wale wanaofanya biashara na kununua?
KWa mtazamo wangu, kama Kariakoo isingekuwa sehemu ya biashara basi pagekuwa patulivu sana. Pangekuwa ni makazi tu ya watu hivyo kutokuwa na pilika zilizopo sasa. sasa tatizo ni pale sehemu hiyo kuwa ya kibiashara. kama wewe msomaji hujapita kariakoo leo utapita wiki ijayo. nami kadhalika. Kwa mantiki hiyo wale wa Kariakoo wanaopigiwa mfano na hawa viongozi ni MIMI na WEWE!! sisi ndio watu wa Kariakoo maana ile sehemu ni eneo lisilokwepeka kufika.
Mnakubaliana na hawa waropokaji?
Nashangaa kwa nini viongozi wa serikali wanapasema vibaya Kariakoo wakati data rasmi zinaonesha Kariakoo kuna transaction ya over 10 billion inafanyika kila siku! Kwa maana hiyo Kariakoo ni muhimu sana kwa uchumi wetu kuliko wanavyofikiri
huu ujumbe ungemfikia huyo mama nadhani angebadili mtazamokariakoo ni sawa na manhattan islands ya marekani
hapa east africa....
kuna wafanyabiashara kutoka zambia.malawi,commoro,drc.
kenya,uganda,msumbiji.south africa,china,thailand.uk ,us,india
na karibu nchi zote tunazofanya nazo biashara....
pesa inayozunguka kariakoo kwa siku,
liquid ,ni nyingi mno.zaidi ya mra elfu moja ya transaction za daresaalam stock exchange
na pengine mara nyingi ya liquid inayotumika bot....kwa siku...
tungekuwa na viongozi wenye akili,kariakoo ni tayari eneo la kimataifa la kibiashara..
wangeweke facilities nyingi na kuhakikisha usafi wa eneo.....
wanachojua wao ni kuponda tu...
hivi kuna mtu anaeweza tafuta data,kama simu ngapi zinauzwa kariakoo kwa siku?????
suruali???????mashati????????
pesa kiasi gani inazunguka kwa siku????????
ni sawa na Guanzou (sijui kama ni sahihi) ya ChinaNashangaa kwa nini viongozi wa serikali wanapasema vibaya Kariakoo wakati data rasmi zinaonesha Kariakoo kuna transaction ya over 10 billion inafanyika kila siku! Kwa maana hiyo Kariakoo ni muhimu sana kwa uchumi wetu kuliko wanavyofikiri
kama vile tandale.....tandika......manzese.......Kwa nini watolee mfano kariakoo tu wakati kuna sehemu nyingi kuna vurugu lakini hawazisemi?
na mnadani-Dodomakama vile tandale.....tandika......manzese.......