peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 16,029
- 26,235
Wakubwa wameamuaKwa nini?
Wakubwa wameamuaKwa nini?
Tunafungua nchi, au sio?Hii haina sifa ya kuwa habari.
Jambo kama limezoeleka linakosa sifa ya kuwa habari. Kukosa umeme kwa TZ sio habariTunafungua nchi, au sio?
Mitambo ya Tanzania ikifanyiwa matengenezo makubwa husababisha kukatika kwa umeme mara kwa mara. Ndiyo maana wakati wa JPM hakuifanyia matengenezo ili kuondoa hii adhaNimefika hapa Dubai ya Tanzania yani Kariakoo leo ni miungurumo ya jenerata kila sehemu
Sababu ni vita ya Russia na Ukraine?



.sababu ni maharageNimefika hapa Dubai ya Tanzania yani Kariakoo leo ni miungurumo ya jenerata kila sehemu
Sababu ni vita ya Russia na Ukraine?
Acha siasa wewe,Kariakoo ipi hiyo Mkuu? Ninapoishi sijawahi kutana na kero ya namna hiyo.
Hakuna haja ya kukuthibitishia, baki na unachokiamini.Acha siasa wewe,
Uko k'koo ipi hiyo tuamie na sisi ambayo inayokaa siku 7 za wiki mfululizo bila kukatika umeme?
Vipi Chato umeme upo 24/7?Nimefika hapa Dubai ya Tanzania yani Kariakoo leo ni miungurumo ya jenerata kila sehemu
Sababu ni vita ya Russia na Ukraine?