😂😂Unaikosea heshima Dubai.
Ukraine wanapigwa mambomu kila siku ila umeme haujakatika mjini😁Sababu ni vita ya Russia na Ukraine?
Sio Kariakoo tu.Karibu oila penne ya nchi ni migao ya umeme.Nchi haina matumaini
nilikua manyara nikasikia na tangazo kbca " hatutakuwa na umeme kesho mpaka saa 1 ucku"Kabisa aisee.Unaikosea heshima Dubai.
🤣🤣🤣🤣Sababu ni vita ya Russia na Ukraine?
Hakuna umeme nchi nzima leoNimefika hapa Dubai ya Tanzania yani Kariakoo leo ni miungurumo ya jenerata kila sehemu