Karenda ya vikao vya Chama Cha Mapinduzi kwa mwaka 2015

Karenda ya vikao vya Chama Cha Mapinduzi kwa mwaka 2015

mutabilwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2011
Posts
305
Reaction score
80
Habari wana JF!!!
Nimekuwa nikitamani kujua nn chama tawala kinafanya na ni yapi matarajio ya CCM kwa wananchi wake na kipekee kwa wanachama wake. Mwl Nyerere katika maja ya hotuba zake alisema ili nchi ionekane inatawaliwa na sheria ni lazima wananchi wake wajue kesho kuna nini!

Chama kinachotuongoza sasa ni CCM na kwa kifupi ndo serikali, kumekua na utaratibu wa kuweka mapema kalenda ya vikao vya chama katika website kwa mwaka husika. Mwaka huu imekuwa sivyo mpaka sasa kalenda ipo ya mwaka jana. Kama chama tawala mimi nauliza mko busy au ndo mnapima upepo?
Nawasilisha.
 
Chadema bado haijafa kama walivyojiaminisha lazima wafanye mambo kwa kushitukiza. Otherwise wstakufa wao..!!!!!

BACK TANGANYIKA
 
Back
Top Bottom