Alikuwepo Askofu Mkuu Oscar Romero; alisimama dhidi ya utawala wa kidikteta na akatoa ujumbe wa kinabii (prophetic message). Alifanya hivyo baada ya mapadre wake kuuawa na utawala dhalimu. Pengo amezoea kukaa katika starehe mno, kula na kunywa na wakubwa na ameacha kusimama kama nabii. Anapenda heshima. Wakati umefika kwa Pengo kuonesha kuwa anastahili cheo alichonacho.
Tunahitaji Oscar Romero wetu... vinginevyo huku tunakokwenda kubaya. Oooh ninavyoogopa kusikia Shehe kauawa; Msidhani haiwezi kutokea au kwamba hawa Wakristu ambao ndani ya wiki moja viongozi wao wawili wameuawa nao wataendelea kukaa kimya..
Pengo... utafanya nini....

Walipofuatwa Waislamu msikitini na kuwawaa pale Mwembechai, Mtukufu Pengo alitoa tamko kuwa wale waliuwawaa ni wahuni, hakujua anachokipanda na PHD zake za Theolojia
Leo mmeanza kuona kumbe Waumini wenu wakiuwawa inaumaaa eenh ? Mkuki kwa Noah.....
kumbe huyu mwanakijiji nae ni bure kabisa kama mitoto mingine ya CHADEMA. Nani kakuambia Mushi kauawa na serikali au sababu za kidini? Pengine ni ugoni au wamedhulumiana kwenye ujambazi unajuaje? Acha kupotosha umma
Alikuwepo Askofu Mkuu Oscar Romero; alisimama dhidi ya utawala wa kidikteta na akatoa ujumbe wa kinabii (prophetic message). Alifanya hivyo baada ya mapadre wake kuuawa na utawala dhalimu. Pengo amezoea kukaa katika starehe mno, kula na kunywa na wakubwa na ameacha kusimama kama nabii. Anapenda heshima. Wakati umefika kwa Pengo kuonesha kuwa anastahili cheo alichonacho.
Tunahitaji Oscar Romero wetu... vinginevyo huku tunakokwenda kubaya. Oooh ninavyoogopa kusikia Shehe kauawa; Msidhani haiwezi kutokea au kwamba hawa Wakristu ambao ndani ya wiki moja viongozi wao wawili wameuawa nao wataendelea kukaa kimya..
Pengo... utafanya nini....
\Hizi kauli zako na Mwanakijiji ndio zinataka kuchochea vurugu zaidi. Fahamuni tu kuwa kwenye vurugu za kidini hata siku moja hakuna mshindi.
Walipofuatwa Waislamu msikitini na kuwawaa pale Mwembechai, Mtukufu Pengo alitoa tamko kuwa wale waliuwawaa ni wahuni, hakujua anachokipanda na PHD zake za Theolojia
Leo mmeanza kuona kumbe Waumini wenu wakiuwawa inaumaaa eenh ? Mkuki kwa Noah.....
Mauaji ya padri ni kitendo cha kinyama kinachostahili kufanyiwa uchunguzi na wale wote watakaopatina na hatia ni lazima wachukuliwe hatua kali. Kadinali pengo ni kiongozi mwenye busara ya hali ya juu, anajua nini cha kufanya na anatambua kuwa kuchochea vurugu zaidi siyo utatuzi wa tabia hii ya kighaidi inayofanywa huko Zanzibar.
Suspect namba moja ni Ilunga wa Mwanza na serikali inajua .Lakini hagusiwi hata mara moja .It is about time Catholics kusimama ama wakristo wasimame labda kutakuwa na nafuu baada ya hapo .