Kardinali Pengo: Maisha yamekuwa nafuu sana awamu hii

Masifa country....

ni mwendo wa kusifu tu...ukitaka ubaya....kosoa

pia nmegundua huenda JK hakufanikiwa sana kwa sababu ya dini yake....
Wacha kauli za kidini wewe.

Unakumbuka wakati wa awamu ya nne ya JK, Askofu Method Kilaini wa Kanisa Katoriki alisema.

" Raisi Jakaya M. Kikwete ni Chaguo la Mungu "

Kauli hiyo aliitoa kama Askofu na wengi walimpinga na kumkejeri sana.

Leo hii wale wale waliompinga Askofu Kilaini wanasema Kauli za Maaskofu zinamtazamo wa Kidini.

Acheni kuendekeza udini mnapo kuwa na matatizo yeni.

Mhadhama Kardinali Pengo ametoa kauli hiyo yenye kubeba maaana nyingi za Kitheolojia na Kifilosofia.
Ni wachache mtakao mwelewa.

Kwa mimi ndiyo awami hii ina maisha rahisi zaidi kuliko awamu zote.
Mwenye uwezo ametumia awamu hii kutafuta njia mbadala ya kujiingizia kipato na amefanikiwa kuipata.

Mnaosubiria kuongezewa mshahala, endeleeni kusubiri.

Wacha kulala chukua Jembe ukalime, Jembe halijawahi kumtupa mtu.
Nchi ina fulsa kibao

Acha kulialia kama hujapewa Akili na Mwenyezi Mungu.

Cheti feki sio kukosa kalatasi lenye maksi halali.

Cheti feki ni Kichwa feki.

Ashakum sio Matusi.
 
Leo wakati najiandaa kwenda kanisani ibada ya pili nikasema ngoja niweke redio yetu Tumaini.

Baba Askofu akitoa salamu za Xmas kwa waumini alisema kuwa yeye anaona maisha yana nafuu sana, labda kwa wale ambao walizoea kupata fedha ambazo si halali ndio wanaolalamika.

Kukazia hilo akasema mavuno ya mwaka huu waliweka target ya kukusanya kiasi kikubwa cha fedha, watu watatu wakamfuata wakati akitangaza malengo hayo na kumuuliza hizo hela zitapatikanaje wakati watu hawana hela baba askofu?

Anasema yeye hakuwajali na akawaambia fedha zitapatikana na kweli zikapatikana sasa leo anasema akisikia watu wanalalamika anashangaa wakati malengo yao yalitimia.

Akaendelea kusema kuwa awamu hii kwake ni nafuu sana kwani akipanda ndege kwenda kwao kwa shirika la ATCL ni karibu nusu ya nauli ambayo mashirika mengine yanatoza, kwa hiyo awamu hii yeye anaona ina unafuu sana.
Nikakumbuka na issue ya katiba mpya namna alivyoharibu na kupingana na baraza la maaskofu wakatoliki, nikasikitika sana kwa kweli nikaona kama kuna wa dini tofauti amesikiliza mda huo basi tutakuwa tumedharaurika sana sisi waamini.

Basi nikazima redio kwa upole na kuelekea zangu kanisani huku nikiwaza ule ukali wa maaskofu haupo tena awamu hii?

Ushauri:TEC imzuie askofu huyu kutoa matamko badala yake kauli nzito kama hizi ziwe zinatolewa na TEC au zipate baraka zake. TEC imuonye askofu huyu pia itoe tamko kauli ile ni ya Askofu bimafsi wala si kanisa katoliki.
Akhsante.
Sadaka za wakatoliki zimejaa tumboni mwake, zimechanganyika na hewa.
 
Inasikitisha angejua namna waumini wanavyojibana angalau wakatoe sadaka
 
Huyu anakula kuku kwa Mlija
 
Ni shetani alie katika kimvuli cha ukadinali...watu wanapata taabu huko vijijini yeye anazungumzia kupanda ndege kweli..
 
Back
Top Bottom