Kardinali Pengo amkemea Lowassa

Hapo ndio utakapo jua Lowassa sio chaguo la system!
 
Wakatoliki nao ni watanzania tunaoshindia mlo moja na kuchoshwa na sheria mbovu. Tutamchagua LOWASSA hata ndiyo kutokwenda mbinguni na iwe hiyo. Ni mabadiliko Pengo asubirie matokeo kanisani
 
Tena huyu Pengo mpuuzi sana sanaa...aseme FEDHA ZA ESCROW zilipitaje Mkombozi bank.. na akawa kimya..!!! Aliwageuka Maaskofu wenzake wote juu ya msimamo wa KATIBA PENDEKEZWA... huyu hafai.. traitor na mnafiki sana..!!😨😨😨

I stopped attended St. Joseph.. sbb ya huyu Askofu hana UPAKO KABISA..!!! Mnafiki sana sanaa...!!! Niko St. Peters kila Sundays now...!!!
 
Nimekupa source ya taarifa yangu
Nadhani ww ndiyo hujielewi, rejea gazeti la raia tanzaia la leo

Muko bize kuegemea magazeti ya ccm mnategea nini. Credibility ya hio habari ninamsha nao. Mbona mwaka jana Lukuvi alivyo kua anahubiri makanisani kuhusu katiba mpya hakusema?

Naona mnatafuta kiki ya kuingia ikulu, ikulu ni ya Lowassa.
 

magufuli rais
 


Sasa kamkemeaje luwasa??

Toeni mashudu ya ccm
 
Sasa huyu pengo naye anakurupuka,kanisa si kwajili ya wema na wakosefu kutubu dhambi zao?
 
Afadhali pengo atusAidie kuwaweka sawa hawa watu wasije tuletra shida kwenye nchi yetu
 
Lowassa namfananisha na hamani alie taka kuwachinja wana wa israel....bt waliokolewa na mtumishi wa mungu ester(magufuli)
 
Safi pengo siasa inamahali pake na dini inamahali pake there izo no direct contact betn religious affairs and political matters!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…