Kardinali Pengo amkemea Lowassa


Mbona Pesa za Escrow Hakukemea....!!??
 
Ni baada ya kuona lowasa anataka kuwagawa watanzania kwa udini na ukabila magufuli ndiye rais
 
Mimi ni muumini wa katoliki ila sipendi HUYU PENGO ANAVYOENDESHA KANISA KAMA LA BABA YAKE !!!HATUTAKINMATAMKO YA KUMKASHIFU KIONGOZI WETU WA KISIASA!!!YEYE ABAKI KAMA KIONGOZI WA KIROHO NA SI KUTUAMULIA KIONGOZI!!!!AU ANATAKULETA UDHEHEBU????AACHE KUTUMIKA!!!!
1.KANISA NI SEHEMU TAKATIFU AMBAPO MDHAMBI HUKIMBILIA ILI KUSAFISHWA DHAMBI ZAKE!!!SIO KUMKEMEANALIYEKOSA!!!
2.EBU WAIRUDIE BIBILIA YAO VIZURI WAKIONGOZWA NA ROHO MTAKATIFU!!!
NB:
YESU KRISTO HAKUJA KWA WALIO WASAFI BALI KWA WENYE DHAMBI ILI WAPATE KUTUBU!!!
 
Tujitokeze kwa wingi kesho tukamstahafishe lowasa siasa na tumchague magufuli kuwa rais wa tanzania
 
habari hiyo ni ya mwaka 2012.nimeshangaa sana hili gazeti. Nimelinunua naenda kulichana
 
Kwani kanisa si mahali pa kujisafisha??.Kwahiyo pa kujisafisha ni wapi?
Kwa waganga?..?Au kwa wakina freemason!!!!!!!!?????VIPI HUYU???
 
Kumbuka tunahesabu SAA, porojo hiz no effect at all,maamuz tayari,ni lowasa tu!
 
Heshimu kanisa na usilitumie jina la Kardinali kwa malengo yenu ya kisiasa. Kwa jinsi ulivyoandika hakika inaonyesha hata ulichokisoma umekitafasiri kwa uelewa wako uliopinda.
 
Pengo mkemee Kilaini kwanza kwa kukwapua hela za wizi
 
Mimi sio mwamini wa RC. Ila p.se tunaomba msiwachonganishe watumishi na wanasiasa. Hapa unajenga tu chuki. Unaliamini sana ilo gazeti?? Siasa za maji taka.
 

kala maharage huyoo,kavimbiwa huyooii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…