CHENGU MANURE
JF-Expert Member
- May 26, 2015
- 914
- 566
Pitia gazeti la raia tanzania ukurasa wa saba na heading yenyewe inasomeka kana nilivyoandika
Sina shaka na uzi huu, na jkiangalia hakuna kukwepa hilo kwani kila kitu kipo wazi
Umenena vema mkuukanisa ni sehemu ya kusafisha pesa za ESCROW.
Wewe MBWAI NINI? SASA KANISA NI MAHALI PAKUFANYA NINI? KANISANI NI MAHALI PAKUTUBU NA KUJISAFISHA HUKU UKIMRUDIA MUNGU! NAONA WEWE MLETA MADA NI MFIKIRIWAJI NA MSENGENYAJI MKUBWA SANA, MBAVU ZAKO WEWE
Mwadhama Polycarp Pengoamesema kanisa si mahali pa kujisafisha, Pengo amesema kanisa halipaswi kugeuzwa mahala pa kujisafisha na kujijenga kisiasa. Kardinali Pengo amesema "Kwa namna yoyote kanisa katoliki halipaswi kuwa uaja wa siasa na wanasiasa wana kwao, wafanye shughuli zao huko uko"
Ameendelea kusema "siyo mu anashindwa kujielezea katika ulingo wa siasa aakuja kkujielezea katika ulingo wa kanisa na kuanza kujinadi na ya vitu vingine na kama hatutalinda mfumo wa kanisa kuna athari zinaweza kujitokeza.
CHANZO CHA HABARI HII NI GAZETI LA RAIA TANZANIA(UK 7).

Unaunga mkono lowassa kuomba kura kwa kutumia dini yake?
Hahahaaha unajisafisha ili kuondoa dhambi siyo ukue kisiasa unashindwa kujitanua akili bro
Au ndiyo ushazoea kutanua vidole insteady of akili
Aibu kwako, na kama hujui ndiyo maana tunajaibu kutenga kanisa na siasa kwa sababu ndani ya kanisa kuna wafuasi wa kila chama na kanisalikiwa na msmamo wa chama flani linakuwa limepoteza dira
Baba Pengo umenena vyema
marryan said:Pengo amesema "Kwa namna yoyote kanisa katoliki halipaswi kuwa uaja wa siasa na wanasiasa wana kwao, wafanye shughuli zao huko uko".
Mwadhama Polycarp Pengoamesema kanisa si mahali pa kujisafisha, Pengo amesema kanisa halipaswi kugeuzwa mahala pa kujisafisha na kujijenga kisiasa. Kardinali Pengo amesema "Kwa namna yoyote kanisa katoliki halipaswi kuwa uaja wa siasa na wanasiasa wana kwao, wafanye shughuli zao huko uko"
Ameendelea kusema "siyo mu anashindwa kujielezea katika ulingo wa siasa aakuja kkujielezea katika ulingo wa kanisa na kuanza kujinadi na ya vitu vingine na kama hatutalinda mfumo wa kanisa kuna athari zinaweza kujitokeza.
CHANZO CHA HABARI HII NI GAZETI LA RAIA TANZANIA(UK 7).
taarifa za kichochezi. Wapi kamtaja lowasa.
kusoma magazeti ya chama kinachoamini katika Nyundo na Jembe Karne Ya 21 ni utovu wa nidhamu ya dhamira yako