Umeandika upuuzi wewe zi zinga la CHOCHEZI LINALOTAKA KUTUGAWA KWA UDINI
pengo? aote meno kwanza.....
taarifa za kichochezi. Wapi kamtaja lowasa.
kusoma magazeti ya chama kinachoamiki katika Nyundo na Jembe Karne Ya 21 ni utovu wa nidhamu ya dhamira yako
kanisa ni sehemu ya kusafisha pesa za ESCROW.
Mwadhama Polycarp Pengoamesema kanisa si mahali pa kujisafisha, Pengo amesema kanisa halipaswi kugeuzwa mahala pa kujisafisha na kujijenga kisiasa. Kardinali Pengo amesema "Kwa namna yoyote kanisa katoliki halipaswi kuwa uaja wa siasa na wanasiasa wana kwao, wafanye shughuli zao huko uko"
Ameendelea kusema "siyo mu anashindwa kujielezea katika ulingo wa siasa aakuja kkujielezea katika ulingo wa kanisa na kuanza kujinadi na ya vitu vingine na kama hatutalinda mfumo wa kanisa kuna athari zinaweza kujitokeza.
CHANZO CHA HABARI HII NI GAZETI LA RAIA TANZANIA(UK 7).
Toka hapa MDINI wewe tupe na habari nyingine kwenye hilo gazetiNimekupa source ya taarifa yangu
Nadhani ww ndiyo hujielewi, rejea gazeti la raia tanzaia la leo