sikujhighijha tembo
Member
- Mar 19, 2017
- 51
- 17
mwanza nduguUko mkoa gani?
shukrani mkuudownload video za "Cardioboxing" zina miongozo simple na mizuri kwa mazoezi ya ngumi
Kaka naomba umuombe radhi uliyemuandikia haya maneno..Fanya jogging na tumia ky jerry kabla hujapiga msamba.
Mafunzo yapi hayo mkuu..watekaji ni watu wenye mafunzo maalum ( isitafsiriwe kama ni vyombo vya serikali) kwa hiyo mkuu usijiamini sana hata baada ya kujifunza hizo karate,
Tatizo lipo wapi?Kaka naomba umuombe radhi uliyemuandikia haya maneno..
Ushauri ulompa siyo..Tatizo lipo wapi?
namaanisha yeye atajifunza hizo kareti lakini wazee ni wabobezi kwenye hiyo michezo, mbaya zaidi huwa na silaha kama bastola halafu wako wengi, hii inaleta ugumu wa kujihamiMafunzo yapi hayo mkuu..
Kufanya jogging kuna tatizo gani?Ushauri ulompa siyo..
nmezicheki zipo vizuri hadi zimenishawishi kununua punching bagdownload video za "Cardioboxing" zina miongozo simple na mizuri kwa mazoezi ya ngumi
upo mkoa gani,i can make follow up.Ningekutumia full combat ila imegoma ku-attach (jamaa yangu alikuwa nayo kwenye CD akanihamishia) sasa sijui alitumia maujanja gani kiasi huwa haikubali ku-duplicate! Mkuu teka teka ni janga la taifa! Ila majamaa nayo huwa yako vizuri kwenye mkono!! Nakushauri umtafute tu sensei hapo Mwanza akupe mafunxo ya moja kwa moja!
Niko Moro!upo mkoa gani,i can make follow up.
poa mkuu soon nakuja training ya kikazi ntakuchekiNiko Moro!