Karatasi za kufuta laana

OgaBoy

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2022
Posts
3,728
Reaction score
5,586
Story ya kweii yenye mafumbo.

Sehemu ya kwanza....


Dar es Salaam ina siri nzito. Unaweza kudhani unaijua kwa sababu unatembea mitaa ya Posta, Kariakoo, au Masaki mchana, lakini ukweli ni kwamba hujui kitu. Chini ya taa za jiji hili, kuna milango isiyoonekana na macho ya kawaida. Milango inayofungua ulimwengu wa siri... Acha nilale kwanza
 
Kwa hili lala tu na usiamke tena
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…