Martin Luther Jr
JF-Expert Member
- Apr 19, 2017
- 722
- 206
Naomba kujua wapi nitaweza kupata karatasi za A4 kwa bei rahisi.
Mnapoleta tangazo au kutaka msaada kama huu jieleze uliko ili member wa eneo husika wskusaidieNaomba kujua wapi nitaweza kupata karatasi za A4 kwa being rahisi
Hivi feki ukiziprint zinakuaje??Kuna mtu ana feki zake zinauzwa bei chee.. Vipi nikupe contacts zake?
Lesotho ya wapi mzeeKama upo Lesotho ni-PM nikuelekeze
Bei zao zipoje?Masumin stationery
Ya Lesotho kwani kuna Lesotho ngapLesotho ya wapi mzee
Nipo Dar,sehemu gani Kariakoo napatasana nena kariakoo, zipo za aina nyingi kutokana na ubora wake, mpaka 7000 wapata, kama haupo Dar pole
Nipo Dar,nahitaji rim 10Maelezo yako yamepelea sana mkuu.
Kwanza haujasema uko wapi, bei rahisi unamaanisha shilingi ngapi? Mwisho kabisa unahitaji kiasi gani? Funguka mkuu. Wadau watakusaidia.
Kila la kheri
Nipo kwenye mji wa bashiteMnapoleta tangazo au kutaka msaada kama huu jieleze uliko ili member wa eneo husika wskusaidie
Nilikua nahitaji katoni nzimaA4.. karibu stationery zote wanauza... mkiwa mnataka kuleta maada kama hizi anza kuuliza kwanza jirani yako au hata mwanao.. yaani unafungua uzi kuuliza A4... afadhar hata ingekuwa A3.. kwel