Karata za Zitto zimebuma!

Karata za Zitto zimebuma!

Huyu Zitto atawatembeza paku wazee wa Ufipa street. Mwamtaka mwajifanya hamumtaki, poleni sana--mwenzenu ameshawwaga amewaambia hana muda na nyie tena. Fanyeni yenu naye afanye yake. Sasa kama amebuma sio ndiyo nyie mfurahie unalialia nini tena hapa?
Umeolewa wewe binti au ndiyo unatafuta bwana?
 
Huyu Zitto atawatembeza paku wazee wa Ufipa street. Mwamtaka mwajifanya hamumtaki, poleni sana--mwenzenu ameshawwaga amewaambia hana muda na nyie tena. Fanyeni yenu naye afanye yake. Sasa kama amebuma sio ndiyo nyie mfurahie unalialia nini tena hapa?

Nani anayelia kama si wewe binti?
 
zitto amekosea sana kuondoka CDM kwani alikuwa anakwena mbali sana kisiasa sasa ataishia uenyekiti wa ACT tu

Akiwa mwenyekiti atabadili katiba tena ili awe kiongozi mkuu na msemaji mkuu
 
Umesahau, wameongezea neno "Uzalendo" ambalo halipo kwa msajili, ili kufuta jina la usaliti.
 
mleta mada hupaswi kulaumiwa huu ndio mwisho wa ubongo wako kujua mambo. atakae kulaum atakuwa anamatatizo nae

Kama wewe ulivyokuwa na matatizo ya kumuelewa mleta uzi....
 
Huyu Zitto atawatembeza paku wazee wa Ufipa street. Mwamtaka mwajifanya hamumtaki, poleni sana--mwenzenu ameshawwaga amewaambia hana muda na nyie tena. Fanyeni yenu naye afanye yake. Sasa kama amebuma sio ndiyo nyie mfurahie unalialia nini tena hapa?

Nani kakwambia analia?
 
Kweli,aisee. Nafikiri kabla ya kupata ID ya JF ingefaa watu wafanyiwe kwanza IQ test

Wewe ndio kabisa ungeishia ulikotokea fb kwani ndio sawa na uwezo wako wa akili
 
Bavicha mmehamia kunywa mbege na viroba vyenu ndio maana akili zenu zinawatosha wenyewe
 
hakuna haja ya kujaza jf kwa thread za mtu mmoja,let's discus events and not an individual like this,so tired
 
Back
Top Bottom