Karata za Zitto zimebuma!

Karata za Zitto zimebuma!

Nimejaribu kutafuta matawi ya ACT hapa Mwanza na Musoma baada ya mkutano MKUBWA sijaona hata Bendera, sijui wanatembea nayo kila mkoa!!??
Au ndio yale yale ya KIJANI??

Juzi SIMIYU kumedoda. Hata Mwalimu Kaijage hajaonekana mpka Leo.
 
Huu uzi utaondolewa sasa hivi we subiri kuna Mods wana uswahiba na Zitto hawataki kusikia kijana wao akipewa za uso.
 
Bavicha mmehamia kunywa mbege na viroba vyenu ndio maana akili zenu zinawatosha wenyewe

Nyinyi Lumumba ndio wapumbavu. Mkitumwa munakuwa km Misukule hamuwezi kufikiria. Yaan siku hizi Mmeacha kusapot CCM mmehamia Act kwa Muda cos mmetumwa. Misukule ikitumwa huwa haihoji. Afande Sele aliimba inapelekwapelekwa km Mingombe.
 
ya udini haijabuma,hadi sasa ndio inayombeba lakini kwa wanachama wa ccm.
 
lazima uzi huu uondolewe. jf imeshawekwa mifukoni mwa jf. siku hizi hawako kwa ajili ya umma bali wapo kwa ajili ya uma. vitambi vitawaua.
 
yeah mleta uzi amejadili vizur sana kwa kifupi siasa za kibaguzi hazina nafasi mara kaskazini mara wachaga, hayo yanaonesha udhaifu w akiweledi na udhaifu wa wanachama
 
ZITTO alikuwa na karata kadhaa ambazo zingemuwezesha kusimama na kusumbua nchini lakini zote zimeenda off timing!

1- Karata ya udini yaani uislamu.hii karata imebuma kwa kuwa kuna UKAWA ambao umejumuisha waislamu na wakristu.

2-Karata ya ujiana nayo imebuma kwa kuwa ccm ina watia nia vijana na vikongwe.vijana kama kina makamba na mwigulu wameonesha uzaifu wa kutisha.

3-Karata ya usomi..hapa napo anagonga mwamba kwani chadema ina wasomi wa kufa mtu!

4-karata ya jinsia ...hapa zitto akaamua kumuweka mwanamke kama mwenyekiti wa ACT lakini bado watanzania hawajakubali kuongozwa na mwanamke hata Tibaijuka kachinjiwa baharini.

5-karata ya ufisadi...hapa zitto kakutana na lowassa ambaye anajitahidi kuiondoa turufu hii kama kigezo huku Dr slaa akisimama kama icon ya kuupinga ufisadi.

6-karata ya ukanda...hii nayo imegoma kwani lowassa ni kanda ya kaskazini na zitto hataki kuwaudhi wanaccm wa kanda ya kaskazini.

7-Zitto alitaka kuondoka chadema na kundi kubwa la wanachama na viongozi ...hili nalo likagoma.

8-Karata ya escrow...sifa zimeenda kwa tumbili halafu zitto alichemsha sana alipotaka kukubali mapendekezo ya adhabu yaliyotolewa na mtuhumiwa ...nyoka mwenye makengeza....Ati zitto alikiri uchovu!!!

Mkuu heshima kwako, nimeku PM naomba majibu
 
6-karata ya ukanda...hii nayo imegoma kwani lowassa ni kanda ya kaskazini na zitto hataki kuwaudhi wanaccm wa kanda ya kaskazini.!
Hapa, yeye na ACT yake wamejipambanua kuwa wao ni wa kanda ya Magharibi- Kigoma...
 
ZITTO alikuwa na karata kadhaa ambazo zingemuwezesha kusimama na kusumbua nchini lakini zote zimeenda off timing!

1- Karata ya udini yaani uislamu.hii karata imebuma kwa kuwa kuna UKAWA ambao umejumuisha waislamu na wakristu.

2-Karata ya ujiana nayo imebuma kwa kuwa ccm ina watia nia vijana na vikongwe.vijana kama kina makamba na mwigulu wameonesha uzaifu wa kutisha.

3-Karata ya usomi..hapa napo anagonga mwamba kwani chadema ina wasomi wa kufa mtu!

4-karata ya jinsia ...hapa zitto akaamua kumuweka mwanamke kama mwenyekiti wa ACT lakini bado watanzania hawajakubali kuongozwa na mwanamke hata Tibaijuka kachinjiwa baharini.

5-karata ya ufisadi...hapa zitto kakutana na lowassa ambaye anajitahidi kuiondoa turufu hii kama kigezo huku Dr slaa akisimama kama icon ya kuupinga ufisadi.

6-karata ya ukanda...hii nayo imegoma kwani lowassa ni kanda ya kaskazini na zitto hataki kuwaudhi wanaccm wa kanda ya kaskazini.

7-Zitto alitaka kuondoka chadema na kundi kubwa la wanachama na viongozi ...hili nalo likagoma.

8-Karata ya escrow...sifa zimeenda kwa tumbili halafu zitto alichemsha sana alipotaka kukubali mapendekezo ya adhabu yaliyotolewa na mtuhumiwa ...nyoka mwenye makengeza....Ati zitto alikiri uchovu!!!

hizo ulizoandika hapo ni mambo ambayo chadema wameshindwa kuna karata moja umeisahau karata ya kuhonga chadema sasa wanahonga watu so wamekua kama ccm tu......!
 
Kila kitu cha msaliti ZZK kitabuma hata demu wake hayuko naye vizuri kwa sasa, USALITI ni hatari
 
Who is ZZK? ninachoamini mimi hadi leo, ni kwamba, ukihama chadema au ukisaliti chadema basi wewe utakuwa umishajifia kisiasa...ndo mwisho wako wa kuvuma hivyo...ZZK anaelekea huko...
 
Moja kat ya mada mbovu nilizowahi kuzisoma...huenda hii mada ikawa imeanzishwa na shoga.
 
ACT Wasaliti hawana nafasi nchini kwetu. Nendeni mkafunge ndoa na ccm
 
ZITTO alikuwa na karata kadhaa ambazo zingemuwezesha kusimama na kusumbua nchini lakini zote zimeenda off timing!

1- Karata ya udini yaani uislamu.hii karata imebuma kwa kuwa kuna UKAWA ambao umejumuisha waislamu na wakristu.

2-Karata ya ujiana nayo imebuma kwa kuwa ccm ina watia nia vijana na vikongwe.vijana kama kina makamba na mwigulu wameonesha uzaifu wa kutisha.

3-Karata ya usomi..hapa napo anagonga mwamba kwani chadema ina wasomi wa kufa mtu!

4-karata ya jinsia ...hapa zitto akaamua kumuweka mwanamke kama mwenyekiti wa ACT lakini bado watanzania hawajakubali kuongozwa na mwanamke hata Tibaijuka kachinjiwa baharini.

5-karata ya ufisadi...hapa zitto kakutana na lowassa ambaye anajitahidi kuiondoa turufu hii kama kigezo huku Dr slaa akisimama kama icon ya kuupinga ufisadi.

6-karata ya ukanda...hii nayo imegoma kwani lowassa ni kanda ya kaskazini na zitto hataki kuwaudhi wanaccm wa kanda ya kaskazini.

7-Zitto alitaka kuondoka chadema na kundi kubwa la wanachama na viongozi ...hili nalo likagoma.

8-Karata ya escrow...sifa zimeenda kwa tumbili halafu zitto alichemsha sana alipotaka kukubali mapendekezo ya adhabu yaliyotolewa na mtuhumiwa ...nyoka mwenye makengeza....Ati zitto alikiri uchovu!!!

9-Karata ya mabilioni ya uswiz alitumika kuuzima mjadala badala ya kututajia majina.

Wanachadema mpaka wanatia huruma?
 
Kumbe udini ni Uislam? kwa maana nyingine waislam ndio wadini!
Au kufuata kwa dini ndio udini wenyewe? Lakini kama ni hivyo mbona wengine wengi hawafuati? Akiwemo huyo Zitto mwenyewe.
 
Back
Top Bottom