Karanga zinauzwa

Karanga zinauzwa

fmlyimo

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2012
Posts
331
Reaction score
210
Karanga zilizobanguliwa zinauzwa. Kilo ni shilingi 1,800/=
Zipo Dodoma.
Zipo tani tano, tunauza zote kwa jumla..
Karibuni sana.
fmlyimo@gmail.com
0659890000
IMG-20180514-WA0012.jpg
 
Hongera sana, Karanga ni tiba ya nguvu za Kiume sitasahau zilivyonisaidia kwenye tatizo langu.
 
Hongera sana, Karanga ni tiba ya nguvu za Kiume sitasahau zilivyonisaidia kwenye tatizo langu.
Ulisaidiwa na hisia zako, mapenzi ni hisia ndo maana unaweza piga bao moja kwa mama chalii nyumbani ukapiga bao NNE za kuunganisha kwa Jej's
 
Back
Top Bottom