Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,254
Haya bwana Ruta,
Nimeisoma hiyo Libido na nimejitambua kuwa mie ni hypoactive sexual desire disorder
Na sina sababu nimeamua tu.
ukiwa na tattizo hili ni noma hata shughuli nyingine hazifanyi ,hasa pale unapojua kabisa kunamtu anaweza akakutatulia hili tatizo.ukiwa huna mtu kabisa ni rahisi kulipotezea kwani huwezi kutamani kula maini wakati unajua kabisa pesa ya kununulia hayo maini huna.Acheni masihala hii kitu ni noma ukiikosa kwa muda mrefu.Watu tume experience the difference
Hii vigonela iko specific kwa wahehe tu au? maana wahehe wana mambo sana, nahisi vigonela ikiwazidi hawatasita kujinyonga!
ukiwa huna mtu ni rahisi kulinyutia ila ukiwa na mtu zen awe anazingua patamu hapo mana utatamani hata ukambake loh!
mi nishawai kumbaka boyfriend wangu mara mbili .........mi nataka ye hataki mi nikamshika kwanguvu badae nikamuomba msamaha yakaisha ila mm tayari nishapata tiba
Just thought I'd let you know,You're the owner of this heart of mine.
hapa nimekuaminia mama,wenzio hufa na vijiba vya roho....kubwa ju aka big up
Nimeamua tu mwenyewe.pole lakini kuna tiba..............hivi unaamua au khali ndiyo imekuamulia....................
sisi huku arusha tunaita kipururu..
ukiwa huna mtu ni rahisi kulinyutia ila ukiwa na mtu zen awe anazingua patamu hapo mana utatamani hata ukambake loh!
mi nishawai kumbaka boyfriend wangu mara mbili .........mi nataka ye hataki mi nikamshika kwanguvu badae nikamuomba msamaha yakaisha ila mm tayari nishapata tiba
Wabarikiwe wanawake jasiri kama wewe popote duniani!
pamoja sana tuhapa nimekuaminia mama,wenzio hufa na vijiba vya roho....kubwa ju aka big up
ameeeeeeeeeeeeeeeenWabarikiwe wanawake jasiri kama wewe popote duniani!