Kete Ngumu
JF-Expert Member
- Nov 21, 2014
- 6,644
- 6,830
Unataka kunianbia huyo DC ni kilaza kiasi haijui bendera ya CDM mkuu?Labda DC alichanganya alifikiri ni bendera ya CDM
Unataka kunianbia huyo DC ni kilaza kiasi haijui bendera ya CDM mkuu?Labda DC alichanganya alifikiri ni bendera ya CDM
Acheni uzuzu na ukiritimba wa kibwege!! Hiyo bendera ya mtoto tena aliyotoa mtumbani ndo inakuwa big issue kiasi hicho? Mnanyanyasa watoto.Nenda Canada kaweke bendera ya Tanzania mbele ya nyumba yako uone jibu lake.
Mkuu umetaja wanyambo nimemkumbuka dem wangu Renny, hatuachanagi.Yani mkuu wa wilaya huku Karagwe mbabe sana ana watesa sana wanyambo na wanyarwanda
Progress vs prognosisMgonjwa kuendelea vizuri ni tofauti na ugonjwa kuendelea vizuri. Tanzania tunaingia chaka! Inasikitisha.
bendera ya cdm kwa mbali kweli waweza ifananisha na ya canada. hata hivo nahisi habari hii ni fake, hakuna kiongozi hata WA ngazi ya kata anae weza amuru mtoto awekwe ndani.Labda DC alichanganya alifikiri ni bendera ya CDM
Jibu swali, kupandisha Bendera ya nchi nyingine ni kosa kisheria?Kuna makosa ambayo mtoto chini ya miaka 12 hawezi kushtakiwa nayo, na hawezi kufungwa (anakua na kinga). Ni sawa na mtoto wa chini ya miaka 8 hata akiua (murder) hawezi akafungwa ana kinga ya umri.
Pili, huyo mkuu wa wilaya hana hekima wala busara wala taaluma ya utawala bora, mtoto kama huyo kwa kosa hilo anapaswa kukemewa tu, ingetosha kujirekebisha.
**Na kuna madhara gani kuweka bendera kama hio ya Canada kwenye mti (ukizingatia alieweka ni mtoto, ambae anaweza akawa hata SHABIKI tu wa hio nchi, au pengine hata haijui hio nchi ilipo duniani wala kuandika jina lake halijui)???
**Unamjenga vipi mtoto huyo ki mapenzi na nchi yake kwa kumweka ndani???
**Unamuandalia mazimgira gani kisaikolojia akikua (kama umri huo usha mtengenezea CV ya kuwahi kukaa rumande)???
NB Tatizo kupewa madaraka bila kua na utiifu wa sheria, uongozi na utawala bora. Unafanya vitu kwa mazoea sio kwa kufata sheria za nchi.
Haha - haha!Tena alikamatwa kuanzia saa 8 mchana mpaka saa 11 jioni kaka yake ndipo alifanikiwa kumtowa police.
Huyo DC anatoka Chato?Yani mkuu wa wilaya huku Karagwe mbabe sana ana watesa sana wanyambo na wanyarwanda
hhahHHhahahaaLabda DC alichanganya alifikiri ni bendera ya CDM
Najua sheria kuliko unavyo fikiria, tatizo muda wangu unathamani sana kuupoteza kujibu swali la kipuuzi kama hilo lako.Jibu swali, kupandisha Bendera ya nchi nyingine ni kosa kisheria?
Kwanza swali halikutoka kwangu, badala ya kumjibu unanipa maelezo mimi bila ya kujua nipo wapi na ninani.Najua sheria kuliko unavyo fikiria, tatizo muda wangu unathamani sana kuupoteza kujibu swali la kipuuzi kama hilo lako.
Labda cha kukusaidia kufungua akili yako,
Tafakari, na jibu lako utalipata ukijiuliza "Mbona hoteli nyingi zinapandisha bendera zaidi ya 5 za nchi tofauti? Na hakuna aliewahi kuzuiwa wala kukamatwa".
Utakuwa na position gani iwapo ukija sikia mtoto wa miaka 12 anaombwa msamaha?Nasisitiza tena, huyu mtoto afungwe hata miezi 6 kwa kosa la kuidhalilisha nchi yetu. Hapa ni Tanzania unataka kuwa Mcanada hamia huko, hatutaki ujinga sie. Tanzania kwanza wengine baadaye, hutaki hama nchi.
Utakuwa na position gani iwapo ukija sikia mtoto wa miaka 12 anaombwa msamaha?