Nimetoka kuzungumza na chanzo cha karibu sana pale Karagwe,kimsingi matokeo bado hayajatangazwa rasmi,ingawa watu ni wengi kwelikweli na wanaamini chadema imeshinda,kwa taarifa tu ni kwamba polisi wameanza kuwasili eneo hilo wakitokea bukoba na kwingineko.lengo ni kwenda kusimamia amani katika eneo hilo;Kwa ujumla hali ni tete Karagwe kwa sasa.