😭😭😭😭It’s honestly too easy kukaa nyuma ya keyboard kubeza and label people waongo, you need to remember the credit belongs to those actually in the mud, Captain Tesha, Lissu, na Mdude are paying a price ambayo wewe huwezi kuifikiria, they are out there taking the heat huku wewe na akili zako za hovyo uko busy kubeza their efforts , sure October 29 wasn't perfect, we know that, lakini heri nusu ya shari kuliko the deafening silence of a coward, at least they stood for something
Mwanajeshi mwenye elimu ya juu kiasi cha Tesha na uzoefu hawezi kufanya mchezo ule.
Bado naamini alikuwa anatumika kama Trap
Ile alionge lugha ya kimedani kupotosha. Asinge KITI wazi kuwa alipotezwa. Sina Imani kuwa TESHA yupo hai mpaka Leo Hadi pale atakapo jitokeza tenaAccording to Mafwele alikimbia kabla hawajamnyaka
Mbona Al Jazeera walitoa hiyo taarifa,walisema more than two dozens of policemen died,wakatoa na video maiti ya polisi gen z wakiendelea kuishambulia kwa fimboThibitisha hivyo vifo vya polisi
You’re obsessed with witch hunt; however, you don’t realize that the witch is the CCM government itself!H
Akina ma
Akina mange na maria hata wasingefanya walichofanya,yale yangetokea
Mipango ilitoka nyumba za ibada na sijui wamenyimwa nini!?
Yaani kuna waumini watiifu walipewa vijana wawasimamie na kuhakikisha wanatoka,na walipewa mafunzo ya kuhujumu
Ndiyo maana unakuta kinondoni hakuna nyumba yenye msiba lakini watu walikula chuma
Polisi zaidi ya ishirini waliuawa,siyo kwa mawe bali silaha za moto
Obsessed!? 🤣 🤣..in politics nothing happens accidentally but plannedYou’re obsessed with witch hunt; however, you don’t realize that the witch is the CCM government itself!
Who plans to demonstrate when there’s no reason to demonstrate? What the government is currently scrambling to do was demanded by substantially all reasonable stakeholders well before the 2025 General Elections, but the CCM government mazafakas pretended to be smartasses only to learn it the hard way!Obsessed!? 🤣 🤣..in politics nothing happens accidentally but planned
Kwahiyo Mwigulu Nchemba haaminiki?Hapana tumwamini Cap. Tesha aliyewaingiza mkenge mpk mkaamini eti JWTZ wako upande wenu
Toka mwanzo wa andiko lako nilitaka kukumbusha hili; kumbe na wewe unalijuwa.Mapinduzi huwa hayatangazwi kabla. Yanatangazwa yakishatokea.
Sijalalamika.Toka mwanzo wa andiko lako nilitaka kukumbusha hili; kumbe na wewe unalijuwa.
Sasa unalalamikia kitu gani. Unajuwa alipo Kapteni Tesha wakati huu?
Kipindi kile palilua moto,alitengenezwa ili wajue jeshini hali ipoje na kuwaangamiza wote watakosaliti.Kumuamini Tesha ilikuwa ni ujinga wa kiwango kikubwa sana. Mimi mpaka leo sijakaa nikaziangalia video zake mpaka mwisho maana dakika niliposikia habari zake nilijua tu huyu ametengenezwa.
Kilichonishtua miezi hii michache ni kugundua kuwa kuna watu hawaijui kabisa Tanzania pamoja na kwamba wamezaliwa, wanaishi, wanakula na wanakunya ndani ya Tanzania na wanaapa kuwa wao ni wajanja ila kuna mambo ya msingi yanayoihusu Tanzania ni vipofu kabisa.
Weka hiyo video hapa tuamini sio kutuandikia maandishi Kila mtu anaweza kuandikaMbona Al Jazeera walitoa hiyo taarifa,walisema more than two dozens of policemen died,wakatoa na video maiti ya polisi gen z wakiendelea kuishambulia kwa fimbo
Tesha alitangaza lini kufanya mapinduzi?Mapinduzi huwa hayatangazwi!
Hii story itakuja lini.Mkuu hata wewe sidhani unajua undani wa Kapteni Tesha. Hata wewe unadhani kitu ambacho hakipo. Kama unajua historia ya kambi ya jeshi na kikosi alichotoka kapteni Tesha ndiyo utajua ni nini hasa kilitokea. Anyways, nikipata muda nitaandika kwa kirefu ili ujue. Kwa kifupi ni kwamba watu ''wakorofi'' na waliochanganyikiwa jeshini wako wengi kweli. Na kikosi cha Airwing ni kama ''kiwanda'' chao. Vitisho kama alivyotoa Tesha viko kila miaka na Tesha alipata umaarufu tu kwa sababu alitumia social media.
Finish itSuck my D.
Sahihi kabisaKipindi kile palilua moto,alitengenezwa ili wajue jeshini hali ipoje na kuwaangamiza wote watakosaliti.