Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,062
- 136,426
- Thread starter
-
- #41
Suck my D.Jaribu wewe uone kama utawarubuni watu wakusikilize
Ukipima Risk iliyokuwepo na iliyopo hadi sasa ni rahisi kuamini kuwa TESHA hakuwa amejituma na malengo yake yalikuwa kinyume na alivyokuwa anataka watu waoneSiku zote kila kitu huonekana ni rahisi kikiwa kinafanywa na mwingine.
Kama unahisi ni rahisi kufanya alivyofanya Tesha jaribu na wewe.
And then tuangalie kama kweli watanzania ni wajinga kihivyo kurubuniwa na video yako ya dakika 15
Chai hii ☕TESHA mpuuzi tu yule.Nilimuona siku Moja pale kitambaa cheupe limelewa chakali.
Je , unajua ukweli wowote ?Sio kweli
You are absolutely right.Naiangalia MO29 kama culmination ya efforts za watu kama Mange Kimambi, Maria Sarungi, Captain Tesha na wengine wa aina hiyo. Bila mchango wao, naamini MO29 wouldn’t have come to pass!
Tukubali au tusikubali, MO29 was a watershed moment for the country. Yes, we may have lost the MO29 battle, but we surely didn’t lose the war. The MO29 battle permanently changed the trajectory of the ongoing war so much that victory has become a real possibility!
Hakuna popote ambapo Tesha alisema atapindua serikali. Alieleza vile ambavyo haridhishwi na mambo yanavyoenda serikalini, alitoa mapendekezo yake na akatoa onyo kwamba wataowagusa waandamanaji basi siku itakuja watatoa majibu ya matendo yao.Well, well, well……
Tulibezwa na kutukanwa sana sisi ambao tulimtilia mashaka yule mtu aliyejiita Kapteni Tesha.
Tuliitwa kila aina ya majina isipokuwa jina la mwana wa mungu.
Miezi kadhaa imepita sasa tokea ajitokeze na tokea Watanzania wachinjwe na risasi za Samia lakini huyo Kapteni Tesha hajatoa hata katamko ka kulaani mauaji.
Haikuhitaji mtu uwe mwanachama wa Mensa kujua kuwa huyo Kapteni alikuwa ni magumashi tu.
Huwezi kutoa onyo kwa mtawala yeyote yule kuwa eti asipobadilika basi utampindua halafu ukaendelea na mambo yako kama kawaida.
Mapinduzi huwa hayatangazwi kabla. Yanatangazwa yakishatokea.
Nacheka sana, tena kwa dharau nyingi, kuona kuna watu walidanganyika kirahisi namna ile.
Mambo kama hayo ndo hutenganisha wale wenye akili na busara na wale waongozwao na hisia [wasio na akili].
Hongera Kapteni Tesha [kama bado uko hai] kwa kujipatia umaarufu wa dakika 15.
Ajaye sijui atajiita nani? Luteni Kanali Matondo?
😀
Jaribu kusuck uone kama ni tamu au chunguSuck my D.
Kwa hiyo Kapteni Tesha alikuwa mgonjwa wa akili tu ?Mkuu hata wewe sidhani unajua undani wa Kapteni Tesha. Hata wewe unadhani kitu ambacho hakipo. Kama unajua historia ya kambi ya jeshi na kikosi alichotoka kapteni Tesha ndiyo utajua ni nini hasa kilitokea. Anyways, nikipata muda nitaandika kwa kirefu ili ujue. Kwa kifupi ni kwamba watu ''wakorofi'' na waliochanganyikiwa jeshini wako wengi kweli. Na kikosi cha Airwing ni kama ''kiwanda'' chao. Vitisho kama alivyotoa Tesha viko kila miaka na Tesha alipata umaarufu tu kwa sababu alitumia social media.
Tena wa kutosha,huko aliko anatikisha kichwa kuashiria kuelewa jambo,Naamini mtoa mada umepata muongozo.
Most likely Tesha is dead. Walimkamata akina Mafwele. Jeshi lilimtupa kwa wauaji.Well, well, well……
Tulibezwa na kutukanwa sana sisi ambao tulimtilia mashaka yule mtu aliyejiita Kapteni Tesha.
Tuliitwa kila aina ya majina isipokuwa jina la mwana wa mungu.
Miezi kadhaa imepita sasa tokea ajitokeze na tokea Watanzania wachinjwe na risasi za Samia lakini huyo Kapteni Tesha hajatoa hata katamko ka kulaani mauaji.
Haikuhitaji mtu uwe mwanachama wa Mensa kujua kuwa huyo Kapteni alikuwa ni magumashi tu.
Huwezi kutoa onyo kwa mtawala yeyote yule kuwa eti asipobadilika basi utampindua halafu ukaendelea na mambo yako kama kawaida.
Mapinduzi huwa hayatangazwi kabla. Yanatangazwa yakishatokea.
Nacheka sana, tena kwa dharau nyingi, kuona kuna watu walidanganyika kirahisi namna ile.
Mambo kama hayo ndo hutenganisha wale wenye akili na busara na wale waongozwao na hisia [wasio na akili].
Hongera Kapteni Tesha [kama bado uko hai] kwa kujipatia umaarufu wa dakika 15.
Ajaye sijui atajiita nani? Luteni Kanali Matondo?
😀
Jaribu kusuck uone kama ni tamu au chungu
Watu wengi nchi hii wajinga,hata wale wenye shahada za vyuo vikuu,watupu sana kwenye uelewa wa mambo ya kisiasa, utawala, uchumi etc..na ndiyo hao miongoni mwao walitumika 29/10Kumuamini Tesha ilikuwa ni ujinga wa kiwango kikubwa sana. Mimi mpaka leo sijakaa nikaziangalia video zake mpaka mwisho maana dakika niliposikia habari zake nilijua tu huyu ametengenezwa.
Kilichonishtua miezi hii michache ni kugundua kuwa kuna watu hawaijui kabisa Tanzania pamoja na kwamba wamezaliwa, wanaishi, wanakula na wanakunya ndani ya Tanzania na wanaapa kuwa wao ni wajanja ila kuna mambo ya msingi yanayoihusu Tanzania ni vipofu kabisa.
Naiangalia MO29 kama culmination ya efforts za watu kama Mange Kimambi, Maria Sarungi, Captain Tesha na wengine wa aina hiyo. Bila mchango wao, naamini MO29 wouldn’t have come to pass!
Tukubali au tusikubali, MO29 was a watershed moment for the country. Yes, we may have lost the MO29 battle, but we surely didn’t lose the war. The MO29 battle permanently changed the trajectory of the ongoing war so much that victory has become a real possibility!
Akina maWatu wengi nchi hii wajinga,hata wale wenye shahada za vyuo vikuu,watupu sana kwenye uelewa wa mambo ya kisiasa, utawala, uchumi etc..na ndiyo hao miongoni mwao walitumika 29/10
Akina mange na maria hata wasingefanya walichofanya,yale yangetokeaWatu wengi nchi hii wajinga,hata wale wenye shahada za vyuo vikuu,watupu sana kwenye uelewa wa mambo ya kisiasa, utawala, uchumi etc..na ndiyo hao miongoni mwao walitumika 29/10
Matukio ya itekaji na mauaji ni mangapi yanayohusishwa na serikali kiasi cha watu kutoka na kuchoma na kuiba!?.. Ile ni agenda ya watuTatizo la approach yako ni kwamba unashambulia watu waliomuamini Captain Tesha badala ya kuchambua mazingira yaliyomfanya ajitokeze na kutoa kauli ile.
Hii ni logical fallacy ya ad hominem, badala ya kushughulika na hoja, unashambulia watu binafsi.
Captain Tesha alifanya jambo la kipekee na la ujasiri.
Kumbuka Tesha alitumia jina lake halisi, hakujificha, na alitoa ujumbe wa matumaini kwa wananchi waliokuwa wamekata tamaa kutokana na matukio ya utekaji na mauaji.
Katika mazingira ambayo kusema ukweli kunaweza kukugharimu uhai wako, kitendo cha kujitokeza hadharani ni cha kuenziwa.
Kutorudi tena hakumaanishi alidanganya, kuna sababu nyingi za msingi zinazoweza kumfanya ashindwe kurudi, ikiwemo vitisho kwa familia yake au shinikizo kutoka vyombo vya dola.
Hizi ni sababu ambazo mtu yeyote mwenye akili timamu anaweza kuelewa.
Ni rahisi kwako kubeza ukiwa salama nyuma ya fake ID, bila sura, bila jina, na bila familia yako kujulikana.
Lakini ni vigumu kujitokeza hadharani na kupaza sauti dhidi ya utawala unaotumia nguvu.
Mwa hiyo kubeza jitihada za Tesha naona ni unafiki kwa sababu hujafanya hata nusu ya kile alichothubutu kufanya.
Tesha ali play part yake na alitoa mchango wake wa kipekee na tunamshukuru kwa hilo kwasababu sio wote wanaweza.
Hata kama hakurudi mara ya pili, sababu zake zinaweza kuwa nzito na za msingi.
Halafu hoja yako kwamba “mapinduzi hayatangazwi kabla” haina mashiko kwa sababu historia imetuonesha mara nyingi watu waliotoa onyo au kauli za matumaini kabla ya mabadiliko makubwa.
Thomas Sankara alitoa hotuba kali kabla ya mapinduzi ya Burkina Faso, Martin Luther King Jr. alitangaza ndoto ya “I Have a Dream” kabla ya mabadiliko ya kisheria kutokea Marekani. Kauli za onyo na matumaini mara nyingi hutangulia vitendo.
Kwa hiyo, Tesha kutoa onyo hakumfanyi awe muongo, bali ni sehemu ya harakati za kuamsha hamasa na fikra za wananchi.
Hapa hoja yenye mantiki ni kwamba Tesha alitoa mchango wake na raia wengi wana appreciate so kubeza jitihada zake ni kupuuza mazingira halisi ya gharama za kisiasa katika jamii.
Thibitisha hivyo vifo vya polisiH
Akina ma
Akina mange na maria hata wasingefanya walichofanya,yale yangetokea
Mipango ilitoka nyumba za ibada na sijui wamenyimwa nini!?
Yaani kuna waumini watiifu walipewa vijana wawasimamie na kuhakikisha wanatoka,na walipewa mafunzo ya kuhujumu
Ndiyo maana unakuta kinondoni hakuna nyumba yenye msiba lakini watu walikula chuma
Polisi zaidi ya ishirini waliuawa,siyo kwa mawe bali silaha za moto
Karibuni kijiweni mradi maji yapo chai haziwez Kuisha.
Lete ukweli wewe!!Sio kweli