macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 29,464
- 61,304
Kama ilivyokuwa kwa Magufuli, aliua upinzani akiamini kuwa ndiyo maadui wake kumbe maadui alikuwa anakula nao meza moja(Paul Makonda) matokeo yake wakamuua na nchi ikarudi kwa mafisadi papa(wanamtandao).Viongozi wengi wa afrika wanaaminigi watatawala milele mtu kama huyo anaongoza nchi kwa one man show akifariki nchi inarudi kulekule ilipokuwepo
Na washabiki wa magufuli waliambiwa watengeneze mfumo mpya wakasema Tanzania inahitaji mtu na sio mfumo sasa hivi hawaamini macho yaoKama ilivyokuwa kwa Magufuli, aliua upinzani akiamini kuwa ndiyo maadui wake kumbe maadui alikuwa anakula nao meza moja(Paul Makonda) matokeo yake wakamuua na nchi ikarudi kwa mafisadi papa(wanamtandao).
Kama hakuna maendeleo yoyote waliyoyafanya katika kipindi cha uongozi wake kwenye issue za tafiti na kupunguza utegemezi wa nchi za Magharibi au Mashariki hakuna la maana alilofanya tofauti na marais wa nchi nyingine?.Wengi waliambiwa lakini hawakusikia. Rais wenu aliyekuwa ''mfano wa kuigwa wa Afrika'', tayari keshalewa madaraka.
Nukuu: ''Demokrasia inaua na watu wa Burkina Faso lazima wasahau kuhusu hilo” Kapteni Ibrahim Traoré, ameiambia televisheni ya serikali ya nchi hiyo.
Kapteni Ibrahim Traoré, ambaye alichukua mamlaka katika mapinduzi ya kijeshi miaka mitatu iliyopita, alidai kwamba Wafrika wengi hawataki mfumo wa demokrasia na kwamba Burkina Faso ina njia yake mbadala, lakini bila kutoa maelezo zaidi ni njia ya aina gani
Traoré awali aliahidi kurejesha utawala wa kidemokrasia ifikapo Julai 2024, lakini miezi miwili kabla ya tarehe hiyo, alitangaza kuwa junta itaongeza utawala wake kwa miaka mingine mitano.
Lakini kama kuonyesha kuwa mwafrika hajafikia level ya kujiongoza, mnamo Januari, mamlaka ilitangaza marufuku ya vyama vyote vya siasa kama sehemu ya mpango wa “kujenga upya taifa.”
Katika mahojiano aliyfanya Alhamisi usiku, Traoré alisema: “Watu wanahitaji kusahau suala la demokrasia. Demokrasia si kwa ajili yetu. Tazama Libya, hii ni mfano halisi,” alisema huyo kiongozi ambaye anajiona kama kama kiongozi wa mapinduzi anayepigana dhidi ya ukoloni wa Magharibi. (mabeberu).
My take: Huu ni mwanzo tu siku si nyingi ataanza mauaji ya wapinzani wake na wananchi wenye mawazo mbadala hawatasalimika!
Source: Captain Ibrahim Traoré says Burkina Faso must 'forget' about democracy
Huyu Traore mwisho wake utakuwa kama wa yule Samuel Doe. Siku si nyingi utasikia anaanza kupoteza wananchi na viongozi wenye mawazo tofauti na yake.Kama ilivyokuwa kwa Magufuli, aliua upinzani akiamini kuwa ndiyo maadui wake kumbe maadui alikuwa anakula nao meza moja(Paul Makonda) matokeo yake wakamuua na nchi ikarudi kwa mafisadi papa(wanamtandao).
Utamu kunoga.Wengi waliambiwa lakini hawakusikia. Rais wenu aliyekuwa ''mfano wa kuigwa wa Afrika'', tayari keshalewa madaraka.
Nukuu: ''Demokrasia inaua na watu wa Burkina Faso lazima wasahau kuhusu hilo” Kapteni Ibrahim Traoré, ameiambia televisheni ya serikali ya nchi hiyo.
Kapteni Ibrahim Traoré, ambaye alichukua mamlaka katika mapinduzi ya kijeshi miaka mitatu iliyopita, alidai kwamba Wafrika wengi hawataki mfumo wa demokrasia na kwamba Burkina Faso ina njia yake mbadala, lakini bila kutoa maelezo zaidi ni njia ya aina gani
Traoré awali aliahidi kurejesha utawala wa kidemokrasia ifikapo Julai 2024, lakini miezi miwili kabla ya tarehe hiyo, alitangaza kuwa junta itaongeza utawala wake kwa miaka mingine mitano.
Lakini kama kuonyesha kuwa mwafrika hajafikia level ya kujiongoza, mnamo Januari, mamlaka ilitangaza marufuku ya vyama vyote vya siasa kama sehemu ya mpango wa “kujenga upya taifa.”
Katika mahojiano aliyfanya Alhamisi usiku, Traoré alisema: “Watu wanahitaji kusahau suala la demokrasia. Demokrasia si kwa ajili yetu. Tazama Libya, hii ni mfano halisi,” alisema huyo kiongozi ambaye anajiona kama kama kiongozi wa mapinduzi anayepigana dhidi ya ukoloni wa Magharibi. (mabeberu).
My take: Huu ni mwanzo tu siku si nyingi ataanza mauaji ya wapinzani wake na wananchi wenye mawazo mbadala hawatasalimika!
Source: Captain Ibrahim Traoré says Burkina Faso must 'forget' about democracy
Hana lolote huyu. Ni kama Magufuli alipoingia akawa gumzo lakini akaja kugeuka na kuwa chinja chinja na asiyetaka kukosolewa. Tuombe Mungu uzima mashabiki wake watashangaaKama hakuna maendeleo yoyote waliyoyafanya katika kipindi cha uongozi wake kwenye issue za tafiti na kupunguza utegemezi wa nchi za Magharibi au Mashariki hakuna la maana alilofanya tofauti na marais wa nchi nyingine?.
Democrasia inatengeneza kikundi cha wahuni wachache wamiliki nchi kwa kuiba kira.My take: Huu ni mwanzo tu siku si nyingi ataanza mauaji ya wapinzani wake na wananchi wenye mawazo mbadala hawatasalimika!
muheshimiwa rais 2025 hukugombea?Viongozi wengi wa afrika wanaaminigi watatawala milele mtu kama huyo anaongoza nchi kwa one man show akifariki nchi inarudi kulekule ilipokuwepo
Hiyo siyo demokrasiaDemocrasia inatengeneza kikundi cha wahuni wachache wamiliki nchi kwa kuiba kira.
Upo sahihi mkuu, ndo mana sasa hv Samia amewaachia upinzani kufanya mambo yao kwa uhuru, hakuna aliyefungwa wala kuumizwa 😂Kama ilivyokuwa kwa Magufuli, aliua upinzani akiamini kuwa ndiyo maadui wake kumbe maadui alikuwa anakula nao meza moja(Paul Makonda) matokeo yake wakamuua na nchi ikarudi kwa mafisadi papa(wanamtandao).
Hiyo ndio democrasia ya AfricaHiyo siyo demokrasia
Mkuu siyo demokrasia bali ni utapeli. Ni kama aliofanya Samia.Hiyo ndio democrasia ya Africa
Kama ilivyo huku Jamhuri ya Malawi chini ya Prof Mutharika.Huyu Traore mwisho wake utakuwa kama wa yule Samuel Doe. Siku si nyingi utasikia anaanza kupoteza wananchi na viongozi wenye mawazo tofauti na yake.