- Mungu amlaze pema peponi,
aliwahi kuwa Director wa DABCO ambayo aliiepeleka to the ground na kuiletea hasara kubwa sana serikali, lakini Kolimba akam-pick kuanzisha SUKITA ambako hata messenger alijenga nyumba ya kisasa, hasara iliyopatikana huko sidhani hata kama itakuja kusemwa wazi to the public, maana this SUKITA's thing was nothing but EPA, he was one of the untouchables wetu bongo yaani wachache walio juu ya sheria zetu, toka awamu ya kwanza mpaka hii ya nne.
Mungu amlaze pema peponi na pole sana kwa wafiwa hasa Mkulu Angel salam za heri kwa familia bro, poleni sana.
Respect.
FMEs!