tatizo lako unakata tamaa mapema mi nilikaa Mpwapwa mpaka nikarudi nae bongo.Kumbe na uporoto pia ushampandisha kenge? hehehe halaf mbaya zaidi Uporoto nauli alikopa
Sitarajii upungufu wa hilo sweety.

uporoto mboga saba ugali kitenesi.
Unamuangalia kiwasi wasi eeh?
Uporoto nakutetea mpenzi.

hiyo red imeanza lini? Uporoto kaongezewa mshahara nini?

Wanawake bana!
nakuonea huruma kamanda angalia location ya spanish lady imebadilika kuwa bongo darisalama hahaha! kajaa tele hapa home pita jioni ya kesho unywe chai ya tangawizi/hiliki/dalasini lol!
tatizo lako unakata tamaa mapema mi nilikaa Mpwapwa mpaka nikarudi nae bongo.
Sitarajii upungufu wa hilo sweety.
watu wanaogopa kujiexpress, akija kutahamaki kifaa kishabebwa.Huwezi amini asilimia ya madomo zege imeongezeka mara dufu miaka hii,'.
fungua kanisa kabisa uwe bilionea mkuu.Dah! imekula kwangu aisee! acha nibadilishe lifestyle nianze kuhubiri neno la Mungu.
Usitumie hilo neno 'kujiexpress' vichwa maji watalitafsiri kivingine hahaha! kloro domo zege ? hivi rafiki yangu kakukosea nini wajameni.watu wanaogopa kujiexpress, akija kutahamaki kifaa kishabebwa.
Kuna tetesi huyu jirani yetu hapa chini ni domo zege.

Usitumie hilo neno 'kujiexpress' vichwa maji watalitafsiri kivingine hahaha! kloro domo zege ? hivi rafiki yangu kakukosea nini wajameni.

Hivi nyie hamlali manaake mmeanza mjadala mwingi haya naana kuhesabu 1 2..........3 laleeeeeeeeeeni
watu wanaogopa kujiexpress, akija kutahamaki kifaa kishabebwa.
Kuna tetesi huyu jirani yetu hapa chini ni domo zege.
fungua kanisa kabisa uwe bilionea mkuu.
Usitumie hilo neno 'kujiexpress' vichwa maji watalitafsiri kivingine hahaha! kloro domo zege ? hivi rafiki yangu kakukosea nini wajameni.
Hivi nyie hamlali manaake mmeanza mjadala mwingi haya naana kuhesabu 1 2..........3 laleeeeeeeeeeni
Dogo huna shukrani tunakuongezea idadi ya posts kwenye thread yako au tukapaishe thread ingine tuhame hapa ?Hivi nyie hamlali manaake mmeanza mjadala mwingi haya naana kuhesabu 1 2..........3 laleeeeeeeeeeni
Dogo huna shukrani tunakuongezea idadi ya posts kwenye thread yako au tukapaishe thread ingine tuhame hapa ?

Kamanda hii husninyo ishazeeka, nenda utambulisho kuna kifaa kipya kimehuzuria.
kamanda mimi na wewe tena ? huko utambulisho nenda wewe usiokuwa na mtu mi niache na Hus wangu.Kamanda hii husninyo ishazeeka, nenda utambulisho kuna kifaa kipya kimehuzuria.
usijali hatoki mtu mtu hapa lol!

old is gold.
Muone vile.
kamanda mimi na wewe tena ? huko utambulisho nenda wewe usiokuwa na mtu mi niache na Hus wangu.
usijali hatoki mtu mtu hapa lol!
pia old is bald!

old is gold.
Muone vile.

pia old is bald!

hakyababu Husninyo kapewa vocha na uporoto leo. Dah! si bure

hahaha! Halafu nirudishie ile vocha niliyokukopesha.
Mkuu kaa mbali na hawa wageni Radhia anaweza kuwa Rashid ikala kwako afadhali Hus tuna uhakika ni totoz la nguvu,we angalia kama huyu muanzisha thread anaitwa james winner kuna Mtanzagiza ana jina la hivyo kweli ?sasa mbona huku PM unaniambia ushakiona kifaa kamanda? Dah! kamanda bana!
Mkuu kaa mbali na hawa wageni Radhia anaweza kuwa Rashid ikala kwako afadhali Hus tuna uhakika ni totoz la nguvu,we angalia kama huyu muanzisha thread anaitwa james winner kuna Mtanzagiza ana jina la hivyo kweli ?