Wakuu nna mwanangu mmoja bana sweden.. ana mwaka wa 3 huu sasa jamaa hana mtoto hana mke wala nin bongo.
Anasoma now..
Jamaa ni wale ma blaza meni yan.. bono alikua anamilik watoto wakal kwelkwel..
Sasa yuko ughaibun katokea kupendwa na bint mmoja wa ki swedish.. bint ni single mama.. anampenda vibaya mno jamaa.. na jamaa anasema labda ni kwasababu anaiwakilisha vzur mno nchi.
Ila sasa bint ni wa kawaida saaaana.. yaan hawaendani na mwana.. ila bint ana maisha.. kaz. Usafir nin... Ila ishu iko hapo kwenye kuendana.. na bint yuko tayar kujenga familia na kuzaa watoto na mwana.. ila sasa mwana ni bishoo sana yaan anasema demu hawaendani..
Anaomba ushaur kwa wadau afanyeje..
Na je akiwa na huyo bint.. maana anawasiwas wa kumcheat badae na kufata vichenched vingne..
Anaomba mumshaur tafadhali.