Kaolewa na mimba yangu

Kaolewa na mimba yangu

Mpenzi wangu kaolewa jamani na jamaa kisa sijui huku ana ujauzito wangu wa miezi sita mwanaume kaambiwa anadai yeye atalea mtoto, Hivi hapa kweli sina haki jamani? naipataje haki jamani? ahadi ya kumuoa nilimpa muda ndio ulikua bado!

lugha hii! nilidhani mimba yako ndo imemwoa.

1. unataka haki ya kuendelea kuzini nae au mtoto?
kama mtoto atakuwa wako atakuja tu.

2. matunzo ya mimba na baadaye mtoto mmekubalianaje?

naamini mimba haikuhusu
 
Mwanamke haeleweki hata umsome kwa microscope....

ni kweli Eve,tena kakitabu chake kametoka hakohapo chini

women book.jpg

understanding-women-book-2.jpg

understanding-women-3.jpeg
 
Mwambie akurudishie mimba yako uilee mwenyewe......
 
Mpenzi wangu kaolewa jamani na jamaa kisa sijui huku ana ujauzito wangu wa miezi sita mwanaume kaambiwa anadai yeye atalea mtoto, Hivi hapa kweli sina haki jamani? naipataje haki jamani? ahadi ya kumuoa nilimpa muda ndio ulikua bado!
Mkuu vp, Mtoto wako ulipewa au hadi leo watu wamenyuti nae hawataki kukupa!!?? Tupe muendelezo wa story yako!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom